CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

Wajinga pekee wanaoamini Lowasa na Sumaye wana jipya kwa sasa katika Siasa za Tanzania hasa za upinzani, huko walikotoka walikuwa na kila kitu wakashindwa waje waweze kwenu?

Mda wanaoupeteza Chadema na hao failure wa kisiasa watakuja kuukumbuka wakiwa wameshachelewa.
Meshaambiwa ccm kuna Mafisi sasa wao hawawezi kuishi kwenye mafisi
 
Majizi Chadema kwa kujifariji hawajambo..


Kamati kuu imeamua nini kuhusu .

1.million 10 walizojiibia bavicha??

2. Vipi kuhusu yale mabilioni aliyotorosha Mbowe nje ya nchi??
 
chonde wasibadili tena gia angani!! na sasaivi kuna ubatizo Wa moto!!


[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

[emoji444] [emoji445] mbele kwa [emoji442] [emoji445] mbeleeee[emoji443] [emoji442]
 
Jamani ugumu unaletwa na kumbukumbu za kukanganya watu! "Fisadi,fisadi,fisadi. Halafu inafika mahali kwamba siyo fisadi. Hakuna maelezo yoyote yamcngi kabisa yaliyotolewa kwa raia hadi leo kujenga hoja yakuridhisha kuwa Billgate wetu siyo fisadi kwa maana 1,2,3. Na yeye akasimama kutoa vielelezo 1,2,3 raia wakaelewa somo.
Kauli ya Katibu mkuu aliyejiudhuru nayo hamjaijengea mada nzuri kukanusha aliyoyasema. Sasahiv dunia ni kijiji ku-maintain propaganda yatakiwa ujuzi wa ziada,sbb habari na taarifa mbalimbali zipo wazi kwa kumbukumbu. Hivi haiwezekani kabisa safu ya uongozi wa juu iliyopo ikaachia ngazi ili kujenga demokrasia, kukiimarisha na kujijenga upya chama?
 
Shikamoo CHADEMA Peopleeeezz!!

Sasa wale misukule wa Lumumba dah!

Molemo,
Vipi kuhusu kutengana hata kijamii? Nina hamu ya kutomsalimia gamba hata kama ni jirani yangu....
Usikute kitu kama wewe
Hata kula ni kwa mwana Ccm
 
Back
Top Bottom