CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Kamati kuu ya CHADEMA leo imeingia katika siku ya pili ya kikao chake na tayari maazimio kadhaa yamefikiwa.

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya kikao hicho zinasema wajumbe hao waliojifungia kwa siku mbili wameamua mambo kadhaa na huenda yakatoa mwelekeo mpya wa siasa za nchi hususan katika kipindi hiki ambacho inaonekana demokrasia kukandamizwa.

Pia moja ya maazimio ni namna ya kukijenga chama kitaasisi zaidi na kukijenga kwa umakini mkubwa kuanzia kwenye vitongoji ili kuhakikisha walau ifikapo mwaka 2019 kiwe na wanachama hai milioni 10.

Kwa siku zote mbili wanasiasa maarufu Tanzania na mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye wameendelea kushiriki kikamilifu katika kikao hicho muhimu.

Wanachama kadhaa wa Chadema waliohojiwa wanasubiri kwa hamu maazimio ya kikao hicho hasa baada ya mkutano mkuu wa CCM uliomalizika jana ambapo chama hicho kiliweweseka na kuonekana kila kiongozi wa CCM ana hofu kubwa na Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.

Mawaziri wakuu hao wastaafu walichangia kwa kiasi kikubwa kuisambaratisha vibaya CCM katika jiji kuu la DSM na sasa chama hicho tawala ni wapinzani hapa jijini.

Tayari Fredrick Sumaye ametangaza kugombea uenyekiti Kanda ya Pwani ili kiisambaratisha CCM kwa kanda nzima.
 
Ushauri wa bure!! mungeachana na siasa mkafanye komedi..
Maana mmekaa kimaigizo maigizo..
Jukwaa la kaole linawahusu zaidi kuliko ulingo wa siasa..
 
Safari hii lazima kinana arudi kwenye kazi yake ya kuchezea makopo na watoto
 
Shikamoo CHADEMA Peopleeeezz!!

Sasa wale misukule wa Lumumba dah!

Molemo,
Vipi kuhusu kutengana hata kijamii? Nina hamu ya kutomsalimia gamba hata kama ni jirani yangu....
akili za kushikiwa hizi htr!! et unaomba ruhusa usimsalimie jirani ako hata hilo mbaka mbowe akuruhusu unyumbu Wa hali ya juu!!
ukivuta huyo ndo atabeba majembe mbowe yupo batan
 
Wewe hujitambui kabisa badala kujenga hoja unaleta mipasho ya kipuuzi

Back
Top Bottom