Cheo cha Zitto kimeshapata mrithi tayari au kaimu na Naibu ni vitu tofauti?, anyway mimi nasubiri kadi no yake niirithimo."Kuna kitu kikubwa mbele yake kabla ya kusikiliza rufaa, huwezi kuongea juu ya rufaa wakati hujajua uanachama wao kwanza" alisema Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Victor Kimesera.
Source: Gazeti la Nipashe.
mbona ajenda ndogo ya kumfukuza zitto kwa chama makini kama cheni imekuwa safari ndefu kama ya kwenda misri
Huyu bwana afukuzwe tu maana tumechoka huu wimbo.
Naona umeamua kurudi kweye ID yako ya zamani, vipi nasikia saizi mmekuja na sera mpya ya Gongo baada ya kuona ufisadi imefulia.
hii maana yake kwa vile waliisha panga kumfukuza, then rufaa yake kwa BKC ni ya nini kwa asiye mwanachama!. Hivi busara iko wapi?!. Chadema wish to add an insult into an injury nawahakikishia wapenzi wa Chadema, CC ikifanya kosa la kumfukuza Zitto bila kuisikiza rufaa yake!, itajuta kuzaliwa!, kwani itakipata cha mtema kuni!.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia utetezi wake na hatma ya uanachama wake katika chama hicho.
"Kuna kitu kikubwa mbele yake kabla ya kusikiliza rufaa, huwezi kuongea juu ya rufaa wakati hujajua uanachama wao kwanza" alisema Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Victor Kimesera.
Source: Gazeti la Nipashe.
yote hery tu watajuta kumjua zito.
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa

Chadema haina wanachama mburula kama wewe wasiojua viongozi wachapakazi.
Sawa, lakini maamuzi ya CC si yanaweza kukatiwa rufaa?Mantiki yake ni kwamba aliyekuteua ana haki ya kukutoa muda wowote, CC ina uwezo huo.
Hivi Mbatia akivuliwa ubunge atakata rufaa kwa rais?
watavurugana sana mwisho zitto atabaki imara kama jiwe.
Pasco katika maamuzi ya kichama usiifananishe Chadema na CCM,hii maana yake kwa vile waliisha panga kumfukuza, then rufaa yake kwa BKC ni ya nini kwa asiye mwanachama!. Hivi busara iko wapi?!. Chadema wish to add an insult into an injury nawahakikishia wapenzi wa Chadema, CC ikifanya kosa la kumfukuza Zitto bila kuisikiza rufaa yake!, itajuta kuzaliwa!, kwani itakipata cha mtema kuni!.
Wale wote mnaokishabikia Chadema kuwa ni chama dume, kuthubutu tuuone huo ujabadume wake!. CCM ambacho ni chama kubwa chama kongwwe wenzao wamepiga kelele za vua gamba wakaufyata wenyewe ndio leo Chadema chama toto kinataka kujutia kimbelembele eti kinaweza!.
Huwezi kulikata tawi ulilokalia na ukabaki salama!.
Pasco
Wewe hunaga hoja zozote zaidi ya mipasho.Kumfukuza hawawezi waliobaki ni porojo tu. Wachagga kila wakifikiria ruzuku watayoikosa. Mnh!
hii maana yake kwa vile waliisha panga kumfukuza, then rufaa yake kwa BKC ni ya nini kwa asiye mwanachama!. Hivi busara iko wapi?!. Chadema wish to add an insult into an injury nawahakikishia wapenzi wa Chadema, CC ikifanya kosa la kumfukuza Zitto bila kuisikiza rufaa yake!, itajuta kuzaliwa!, kwani itakipata cha mtema kuni!.