Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
natabiri pikipiki nyingi zitapelekwa kanda ya kaskazini
Kodi zetu
mwekundumzabuni(supplier) ni nani?
Kuna ufisadi mkubwa sana kwenye mchakato wa manunuzi ya hizo pikipiki, ndio maana tunahoji.
Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.
Mchango wako umepita viwango vya ujumla vya wachangiaji kwenye jukwaa hili.
Ongera sana kwa mafanikio hayo,Nategemea kuona michango ya viwango hivi kutoka siku za usoni.
Nategemea pia kuona wachangiaji wengine wakiiga mfano huu.
Tanzania inapaswa kujivunia sana kuwa na wananchi wazalendo kama wewe.
Binafsi namshukuru Mungu sana sana sana kwa ajiri yako.
Ni kweli Mkuu
sawa yahaya
natabiri pikipiki nyingi zitapelekwa kanda ya kaskazini
za kichina au japan?
Ni kiini macho tu hicho,
Wenye mzigo wao wapo.
Muulize lema na mbowe utakavyokuwa.