CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

Safi ni hatua moja nzuri sana katika ujenzi wa chama , poleni sana pro magamba najua hii habari inawachoma sana.

ngoja waje wale mamluki wa ccm wanao jifanya kila siku wanataka kujua ruzuku imetumikaje.wakati wanaona magari ya m4c na tuktuk zinaingia hawasemi.
 
Wanakopeshwa watendaji!!!!?????
Zinakuwa za ofisi!!!????
Ufadhili au pesa ya ndani!!??? Kama ufadhili wa nani na makubaliano yepi!!!!??????

Operation mode please na expected maintenance costs !!!!!

A matter of sustainability.....otherwise it is a good move!!!!!
Kama ni za ofisi zitazalisha migogoro tu, ccm arusha wanakopesha vijana watano pikipiki moja, marejesho 30,000/= kwa mwezi. Ukifanya multiplier effect hao watano wanaweza kuwa zaidi ya wapiga kura 50. Anyway, chama ni kichanga wafanye wawezavyo ila wakumbuke pia 'kugusa matumbo ya watu'.
 
Hii ni hatua moja kubwa sana na mwanzo!
Angalizo!
Kanuni ya Ugawaji wa hizi Pikipiki ziwe shirikishi kwa maana ya Sifa itakayo zingatiwa kwa Kanda husika na viongozi wake kufanikiwa kupata ngawo wa hizi piki.

Ushari wakati vitendea kazi hizi vinakabidhiwa ni vizuri Makao Makuu ya Chama ikawekeana Mkataba na Kanda husika kuwa malengo ya kuletwa kwa Pikipiki hizi inatekelezwa hivyo Mkataba ueleze lini kila kanda itarejesha taarifa ya utekelezaji.

Maeneo muhimu sana kuelekea 2014-2015;

-Uhakiki wa Wanachama
-Uandikishaji wa wanachama wapya.
Uandishaji wa watanzania na hasa wanaCDM wenye Umri zaidi 18yrs lakini hawana Kadi ya Kupigia kura ya Tume ya Uchaguzi- ilikuwasilisha Malalamiko na hata ikilazima kufungua Kesi Mahakama Kuu kudai haki hii ya Msingi ya kuwa na Uhuru wa kumchagua/kuchagua viongozi.

CC. Mohamedi Mtoi , Kurugenzi ya Habari Tumaini Makene , Ben Saa Nane

Mp Kalix2,

Mkataba Upo na una details za kutosha pamoja na Mwongozo wa Matumizi ya Raslimali za Chama.Uko very Professional
 
Last edited by a moderator:

Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?

Wakati CDM ikiwaerevua watanzania juu ya haki zao na kununua vitendea kazi, CCM inajiandaa kuwanunulia watanzania ubwabwa, khanga, scaf, T-sheti ili wawape kura huku wengine kama wewe mkiumiza macho na kutumia muda mwingi kwenye pc kuwahadaa maskini hawa waliotokea kuwaamini na kuwapa dhamana ya kuongoza.
Mtakuwa wabora sana kama mtawashauri watendaji wenu wa chama na Mawaziri/ Naibu waziri wanaotuaibisha kila kukicha kwa utendaji wao na wengine kufikia hata kushangaa ufisadi unaoendelea ktk wizara zao bila kuchukua hatua zozote.
 
Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.
 
MSALANI,

Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla
Ben huyo unayemjibu ana sura ya CCM au masalia
 
ukiuza moja hii utanunua ngap???
images
 
Back
Top Bottom