Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Kweli mmechanganyikiwa, mlitaka mtonywe kabla ya mzigo kuingia au? Maana hapo Imekula kwenu , uchaguzi wa vijiji , maandalizi hayo, Kinana Anahangaika kuhonga media zote ........Mkuu kuuliza sio ujinga. Ungetusaidia sana kama ungetoa hayo majibu kwa faida ya wanajamvi wote tusiojua huu mchakato wa kupata pikipiki uliendaje.