CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Hivi unaweza kutwambia ndani ya ccm ni nani aligombea nafasi ya uenyekiti na mwenyekiti wenu wa sasa?
Chadema bado ipo na watu wanaisapoti. Vidole viwili vinamanisha hadumu mwenyekiti. Chama hakina hata uchaguzi wa mwenyeti full utemi na maamuzi mtu mmoja
 
Kho kho kho tptuu hao watu watano ndiyo wanauwa ccm singida,rejea mafuriko ya Edo na mabadiliko utajua unajitekenya alafu unacheka.
Wametengeneza Uzi wao wa kujifariji. Wanaandika na kucomment wenyewe. Maana siku hizi CDM hawana cha kujivunia chochote, chama hakina uhai. Wana hasira haoo. Ha ha haaa
 
Nyarandu huyu tumjuaye
 
Wewe mwenye unaipenda chadema ila sasa unashindwa kutoka huko uliko sababu unapata upenyo wa kuiba rasilimali za watanzania kupitia
Chukua
Chako
Mapema
Chadema IPO mioyoni mwa wachaga pamoja na nduli mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…