CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Naona mh Nyarandu anakutesa sana na hapo bado mtalia sana
Habari za Chadema zikiandikwaga na huyu Mmawia huwa zinatiwa chumvi hadi zinapoteza ladha. Mara oh sijui Lisu kazawadiwa basi huko Ubelgiji, mara oh Lisu atahutubia bunge la Marekani, khaa uzushi mtupu!
 
Ushukuliwe sana mkuu kwa mawazo ya kujenga
 
Chadema bado ipo na watu wanaisapoti. Vidole viwili vinamanisha hadumu mwenyekiti. Chama hakina hata uchaguzi wa mwenyeti full utemi na maamuzi mtu mmoja
 
kwa kilichotendeka kwa lissu huko singida, hakika mwanasingida wa kuiunga ccm mkono anapaswa kuwa na akili ya kiuwendawazimu dah
 
Umenena mkuu na matokeo yake ndiyo hayo tunayo yashuhudia
kwa kilichotendeka kwa lissu huko singida, hakika mwanasingida wa kuiunga ccm mkono anapaswa kuwa na akili ya kiuwendawazimu dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…