Wanasiasa wote wamuige Nyarandu.
Anasiasa safi zisizo na lugha za Matusi wala Kejeli.
Tunataka siasa za kushindana kwa hoja.
CCM wamehamia kwenye siasa za kutumia maguvu na vitisho ndio maana wanabebwa na watu wasiaojulikana .
Tunataka siasa za hoja.
Nchi hii INA mambo mengi sana ya kuyafanya kwa kupitia akili na maarifa kuliko nguvu.
Maguvu kwa muda mrefu yameruharibua nchi .
Mipango mingi inapangwa lakini inasimamiwa na kufanywa na watu wenye maarifa kidogo.
Chadema wajipange tu vizuri kwenye uchaguzi ujao.
Wasimlenge sana Magufuli mana magufuli hawezi kuangushwa na MTU nje ya CCM.
Wapinzani Walenge sana kwenye viti vya serikali za mitaa mwaka huu, Udiwani, na ubunge mwakani.
CCM ikiwa na hao wabunge na madiwani wengi kiama cha Watanzania kitazidi kudumishwa.
Duuh chadema kiboko, hao wazee hawaogopi kuvamiwa?Wakati wana ccm wakijidanganya kuwa cdm inakufa,
Mambo ni kinyume mkoani singida ambapo mh Nyarandu anazidi kuzoa wana ccm na kujiunga na cdm kila uchao.
Pongezi ziwafikie wana cdm popote pale walipo kwa juhudi za kukijenga chama.View attachment 1151328View attachment 1151329
Chaga Development Manpower
Hoyee!Ccm Hoyee
Hao wananunuliwa, wcdm inatumis hela za ruzuku kununua watuMkuu usemayo ni kweli kama unavyo ona mwenyewe sasa hivi hata vikongwe wanaamua kuikimbia ccm na kujiunga na chama cha wazalendo wa kweli cdm
Mbona kadi zenyewe zinaonekana feki?Hizo ni kadi halali siyo za kutengenezea kwa kanjibhai kama nyinyi