CHADEMA yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba

CHADEMA yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba

uwe unaleta habari kamili, sio kutupia kichwa cha gazeti tu...na wewe unasoma vichwa vya habri tu kisha unahukumu...yani wewe sio great thinker kabisa
hujasoma sredi yote.
Mimi nimeomba details kamili as hilo gazeti nasikia likichambuliwa msikiti wa jirani na home, mimi siwezi soma hilo gazeti.
Comments za Lipumba ni my perception na sio kulingana na analyisis za upupu wa hilo gazeti
 
kwa hiyo mtu siku hizi akisimamia haki tu anaonekana kanunuliwa na cdm? nyambafff sana hawa watu wa magamba
 
hujasoma sredi yote.Mimi nimeomba details kamili as hilo gazeti nasikia likichambuliwa msikiti wa jirani na home, mimi siwezi soma hilo gazeti.Comments za Lipumba ni my perception na sio kulingana na analyisis za upupu wa hilo gazeti
Mkuu, tungeomba ututajie huyo Msikiti wa jirani na Home kwako unaitwaje ili tupate kuchangia vizuri tusije kuwa tunanachangia porojo za kwenye mbege
 
Umaarufu wa CUF unaporomoka kutokana na ndoa yao ya mkeka na CCM! bahati mbaya wameshindwa ku-implement dhana nzima ya "muafaka" na kuzika dhana ya "Upinzani".....hapo ndipo mambo yanapoenda kombo!
 
kwani kuna kosagani profes kuunga kono cdm ata yeye mtazania ameguswa na swala hilo. sasa cdm umetoka wapi walio kufa ni watanzania soi chama cha cdm upo
 
kwani kuna kosagani profes kuunga kono cdm ata yeye mtazania ameguswa na swala hilo. sasa cdm umetoka wapi walio kufa ni watanzania soi chama cha cdm upo
 
[h=2]
icon1.png
Re: Chadema yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba[/h]
una ushaidi ukiitwa mahakamani au ndo wale wale
 
mwanzilishi wa cdm alimshauri nyerere kuhusu uchumi nyerere alipokataa mzee wa watu kajiweka pembeni akaepusha msongamano yaliyompata mwalim wote tumeyashuhudia.
vyama vingi vilipoingia nchini kamanda kaanzisha chama leo wasomi wote wapo ndani ya nyumba.chama kilichokuwa cha mwalimu leo hata wale kilichodhani ni wajinga leo wamekigeuka.
lipumba sio wa kumwamioni sana ila kwa vile chadema ni mfumo kama katumwa utamtapika tu.
 
Kwa hiyo kumtetea Mbowe ndio kununuliwa?
 
kama moyo wake umeridhia ni sawa hapana shida,raha jipe mwenyewe usisubiri misukule ije ikufanyie masaji
 
Limbukeni mkubwa wewe umetumwa na NAPE,haya nenda ofisi za CCM ukachukua posho kwa upuuzi wako uliotumwa uandike
 
alinunuliwa na ccccmmmmm, je wamemuuza tena ili wapate cha juu?

Hata kwa mkopo CDM hawawezi,labda aje kwa majaribio ya miezi fulani halafu anawekwa kweye probation period,baada ya hapo anaweza kufikiriwa akionyesha talaka yake ya kuachwa na ccm
 
Back
Top Bottom