CHADEMA yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,285
7,143
Wana JF nawasalim

Katika pita pita yangu asubuhi nimeona hii tittle Chadema yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba
hili gazeti ni pro-CUF+CCM sasa hii inaashiria Lipumba anaanza kuandamwa ndani ya CUF

Kwa wale wanaolisomaga hebu tupeni details au kwa wale wanahudhuria mhadhara wa manzese kwa bakresa tujulisheni

My take:CUF haitakiwi iongozwe na mtu msomi wa kiwango cha Lipumba.

Lipumba is so much educated to associate him self na waandishi majuha wa gazeti la HOJA watamwangusha

Lipumba analazimika kuongea urojo for sometimes ili asikalie kuti manake wale wanachama wa CUF uelewa
wao bora hata Wafuasi wa Mtikila
 
Maandamano ni wiki hii siku ya Jumapili, pia hiyo ni hofu ya CCM kuona kuwa Lipumba aliyetema cheche siku alipokamatwa Mbowe si yule walimzoea!
 
well said, Lipumba anapata wakati mgumu sana pale, sasa wakimtoa watamuweka nana?
mkweree atakuwa behind ya hii kitu
 
Anayesema hawa waandishi uchwara wanaotetea ccm na mfumo wake kwa kuwagawanya wa2 siwezi kuwaelewa. Hivi Lipumba kumtetea Mbowe ndo kununuliwa na cdm? Saa ya kuongoka tz hata sijui itakuwa lini!
 
Mtu huyu ni kiherehere hata uomi wake anaudhalilisha,ngoja yampate ya Mapalala na Prof.Safari ndo ajue hicho chama ni cha nchi za nje(Pemba) na yeye ni Mtanganyika
 
Lipumbe amesoma alama za nyakati. Sasa kama watu hawataki chama yeye afanyeje? Sia anamtafuta mshirika anayekubalika?
 
Wana JF nawasalim

Katika pita pita yangu asubuhi nimeona hii tittle Chadema yadaiwa kumnunua Prof. Lipumba
hili gazeti ni pro-CUF+CCM sasa hii inaashiria Lipumba anaanza kuandamwa ndani ya CUF

Kwa wale wanaolisomaga hebu tupeni details au kwa wale wanahudhuria mhadhara wa manzese kwa bakresa tujulisheni

My take:CUF haitakiwi iongozwe na mtu msomi wa kiwango cha Lipumba.

Lipumba is so much educated to associate him self na waandishi majuha wa gazeti la HOJA watamwangusha

Lipumba analazimika kuongea urojo for sometimes ili asikalie kuti manake wale wanachama wa CUF uelewa
wao bora hata Wafuasi wa Mtikila

uwe unaleta habari kamili, sio kutupia kichwa cha gazeti tu...na wewe unasoma vichwa vya habri tu kisha unahukumu...yani wewe sio great thinker kabisa
 
CUF inaeleweka kabisa ni Chama cha wapemba waliopo Doha, Qutar, Oman na nchi nyingine za kiarabu na hapa Tanzania Boss wao ni Maalim Seif. Lipumba ni kibaraka tu.

KAMA MNABISHA KUNA MEMBER ANAJIITA BARUBARU HUMU JF aje athibitishe bila unafiki bila kumung'unya maneno.

Maneno haya yameenea sana Zanzibar na mimi nina uhakika kuna jamaa ni mzee lakini ni rafiki yangu huwa namsaidia katika mambo fulani ya IT, huwa ananimegea siri kidogo na yeye Jamaa ana mpango wa kwenda kuchukua moja ya majimbo maarufu huko Pemba mwaka 2015.
 
CDM haiwezi kununua watu, watakuja wengi tu kimyakimya ndani ya nguvu ya umma.
 
CUF inaeleweka kabisa ni Chama cha wapemba waliopo Doha, Qutar, Oman na nchi nyingine za kiarabu na hapa Tanzania Boss wao ni Maalim Seif. Lipumba ni kibaraka tu.
KAMA MNABISHA KUNA MEMBER ANAJIITA BARUBARU HUMU JF. aje athibitishe bila unafiki bila kumung'unya maneno. Maneno haya yameenea sana Zanzibar na mimi nina uhakika kuna jamaa ni mzee lakini ni rafiki yangu huwa namsaidia katika mambo fulani ya IT, huwa ananimegea siri kidogo na yeye Jamaa ana mpango wa kwenda kuchukua moja ya majimbo maarufu huko Pemba mwaka 2015.

Aiseeee, Kumbeeeee
Hii ndo naipata leo
Ahsante mkuu
 
Ukiona mkeo ana kustukia na kukushutumu kwa kuambatana na wezi, ujuwe huna mtetezi mwingine.

CCM walipofunga ndoa na CUF, walijua wamepata mke mtiifu, lakini mke mwenyewe njaa ndiyo iliyo msukuma kuolewa, sasa amestuka baada ya kuona mme mwenyewe anakumbatia mafisadi, amekaa kimachale machale anatuma makombola kwa mmewe, mmewe anaanza kumshutumu labda kahongwa na bwana mwingine!

Picha inaendelea kabla ya mwaka wa kwanza wa awamu ya pili tutasikia na kuona mengi!
 
Namkumbuka mzee Julius K aliwahi kusema sera za CDM ni nzuri sana na kwamba hana mashaka kwamba hata kikichukua madaraka ya kuongoza taifa litakuwa vizuri tu.

Naamini kwamba kwa sasa kila mwenye macho na masikio yanayosaidia akili kuwa timamu, lazima anaona ukweli wa kuwa ndicho chama kinacholeta mageuzi ya kweli na kujali kwa vitendo haki na usawa wa mtanzania.
 
alinunuliwa na ccccmmmmm, je wamemuuza tena ili wapate cha juu?
 
Back
Top Bottom