VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Je mmeangalia TBC Live Ngeleja kuhusu issue ya Tanesco???... Hawa watu wanajaribu kutuconvice na kujustify kwamba ongezeko ni dogo.... jitihada za kupinga maandamano zimekwishaanza......
Manina zako toa ukilaza wako hapa kicha maji kabisa cant u see there's 185Billion at the conner?Hivi busara za viongozi wa CDM ziko wapi? mseme tu mnataka umaarufu mkiandamana nchi nzima mnawakoa mafisadi? are you serious!! where is the logic besides CDM is a political party!!!!!!!!!! and not a pressure group!!!! kumbe hata CDM kuna vilaza wa siasa namna hiyo!!! waacheni chama cha watumiaji "consumers whatever they can call them selve" waandamana sana sana muwaunge mkono!!! shame on you. CDM is a powerful and very popular party to seek such a cheap popularity.
Acheni vurugugu zenu mnatuharibia nchi nyinyi na mafisadi sawa tu! tuawaambieni tofauti if you you have any all you want is chaos we are now getting tired and sick of you!!!!!!!!!!!!!. And remmember whatever goes arround comes arround. unless you are sure that you are just a pressure group, so there is no way you will become a rulling party, be prepared to face the same chaos should CDM (GOD forbid! ) come into power in that form!
CDM has greater potential to do well without being a bunch of thugs that is causing chaos every now and then. peolpe will hate it the was they hate FISADIS actully as of now the difference between the two of you is the SAME! (Sic!)
Kutumia njia moja does not mean na njia nyingine zisitumike..... binafsi baada ya kunyonywa naona ni bora tutumia njia zote (any means necessary) leave no stone unturned....
hivi hujui kwamba impact ya umeme kupanda itafanya vitu vingine vyote vipande.... KNOCK ON EFFECT... just come and talk to me two years from now and you will say VOR uliniambia...... Unless tujiunge wote... tuanze kwenye hili.... together we shall overcome......
Hivi busara za viongozi wa CDM ziko wapi? mseme tu mnataka umaarufu mkiandamana nchi nzima mnawakoa mafisadi? are you serious!! where is the logic besides CDM is a political party!!!!!!!!!! and not a pressure group!!!! kumbe hata CDM kuna vilaza wa siasa namna hiyo!!! waacheni chama cha watumiaji "consumers whatever they can call them selve" waandamana sana sana muwaunge mkono!!! shame on you. CDM is a powerful and very popular party to seek such a cheap popularity.
Acheni vurugugu zenu mnatuharibia nchi nyinyi na mafisadi sawa tu! tuawaambieni tofauti if you you have any all you want is chaos we are now getting tired and sick of you!!!!!!!!!!!!!. And remmember whatever goes arround comes arround. unless you are sure that you are just a pressure group, so there is no way you will become a rulling party, be prepared to face the same chaos should CDM (GOD forbid! ) come into power in that form!
CDM has greater potential to do well without being a bunch of thugs that is causing chaos every now and then. peolpe will hate it the was they hate FISADIS actully as of now the difference between the two of you is the SAME! (Sic!)
Tuko pamoja! tukimaliza umeme tuandamane kuhusu maji nafikiri tutapata watu wengi kupita umemebei ya kuweka (wiring) tu umeme iko juu acha maana nyumba zetu huku tunatumia umeme mbadala..maji mbadala hakuna
Besides, wakina mama watakuwa wengi zaidi hivyo police hawawezi kupiga akina mama
Watanzania wamemaliza uchaguzi wao wa 2010 kwa mafanikio, amani na utulivu.
Serikali ya Rais Mteule inaendelea kuchapa kazi ili kutimiza yale yaliyoahidiwa kwa wa Tz.
Jambo linalosikitisha ni mtindo wa Chama Kikuu cha Upinzani kutafuta kila aina ya kisingizio cha kuhamasisha maandamano, na wakati mwingine kudai yatakuwa ya nchi nzima.
Visingizio vya kipuuzi vya kufanya maandamano haya ni pamoja na:
Kupanda kwa bei ya umeme,
Kuwepo kwa mgao wa umeme,
Kupigwa kwa mbunge wao aliyekuwa anaonyeshana ubabe na Polisi,
na mambo mengine ya kitoto.
Kwa nini viongozi wa chama hiki wasitumie njia mbadala ya kufikisha ujumbe kule walikokusudia? Au ndio uvivu wa kufikiri?
Maandamano hayana tija kwa nchi yetu zaidi ya kuwazuia Polisi kutimiza majukumu yao ya kimsingi. Viongozi makini wa siasa wenye uchungu na nchi yao hawawezi kufanya mambo kama haya yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Wakati umefika wa kuachana na siasa za kitoto.
nilitaka nikujibu... lakini ngoja niache sababu nina uhakika jibu unalo ila unataka provocation
Je maandamano ya Kutoka nyumbani na kurudi nyumbani: trafic Jam ikoje. Nayo ni upuuzi!! Inapendeza!!
Unagonjwa!!
Je maandamano ya Kutoka nyumbani na kurudi nyumbani: trafic Jam ikoje. Nayo ni upuuzi!! Inapendeza!!
Unagonjwa!!
Kwani wewe unaushauri gani mbadala kama wananchi hawasikilizwi ni mbinu zipi watatumia kuprotest..... Kwahiyo hata South Africa walivyokuwa wanaandama kuonyesha kutokuridhika kwao walikuwa ni wapuuzi???Bado natafuta jibu, yatakoma lini?
Dunia inatucheka ati, wengine wanatumia muda wao vizuri wakati sisi tunarudishwa nyuma na wanasiasa uchwara.
Kamanda wewe ni great thinker.
Ni vyema umemuuliza haya maandamano yasiokoma ya traffic jam za kila siku mbona huyu fisadi mtoto hayaoni kuwa ni kero??
Kwani wewe unaushauri gani mbadala kama wananchi hawasikilizwi ni mbinu zipi watatumia kuprotest..... Kwahiyo hata South Africa walivyokuwa wanaandama kuonyesha kutokuridhika kwao walikuwa ni wapuuzi???