Sawa mkuu andamaneni kwakuwa:-
1. Shillingi imeshuka dhamani
2. Nyumba za kupanga bei zimepanda
3. Maji hakuna huku kimara, etc
4. Foleni zimezidi barabara
Lini tutafanya kazi maana naona mtaandama kwa kila kero katika nchi hii...
nchi kero ni nyingi umeme ni "cha mtoto"
Hujui ulisemalo bwana mkubwa....