pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
moshi nyingine sio ambayo Jana walipita ccm mida ya saa 1 jioni katikati ya mji wakazomewa hadi aibu.
Yale mabango ni pesa zinaingia kwenye halmashauli yetu, Kwahiyo alete mabango mengi tu..tutachukua pesa. Tunaenda kulipia ada watoto wasio na uwezo.. Kampeni wamefungua jana, kaja kinana, olesendeka, sijui nani,, chadema wamezindua kampeni na ndesa pesa tu..hiyo tosha ni kuwa Mosha Hawezi mziki wa chadema moshi.. Mama minde alipigiwa kampeni na mkapa, na viongozi wote wa ccm alikimbia asubuhi tu...Mosha Ajui kama Mwenyekiti wake kikwete alikuja moshi miezi minne nyuma,, akamsifia jafarry Michael kuwa kafanya kazi kubwa, akampongeza sana mbele ya viongozi wote wa chama chake na viongozi wa mkoa,, leo Mosha uje na pesa zako za kugawa tukupe ubunge? Huna hata duka la kuuza soda moshi... Jafarry kawapa ajira vijana watu.. Leo hii tukupe ubunge sahau.. Sasa kampeni tayari.. Sijui nani anasaidia kufanya mikutano maana, watakula pesa yako yote na utagundua umeliwa....... Pole
Hapa moshi hata Yesu agombee CCM hlf chadema waweke jiwe..basi watu wanachagua jiwe..MOSHA H A P I T I.
Naona amekutuma uje upime upepo,watu wa Moshi wameshaamua ni CDM tu na hiyo dhana ya ukabila mwambie apeleke Old Moshi si kwa hapa mjini!Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town
CCM Daima. Wana Moshi tumeichoka CHADEMA
Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town
UKABILA PELEKA HUKO KWENU . Moshi mjini ina watu wa makabila yote wakazi wa Kilimanjaro huwa hawaishi mjini wanafika mjini na kuondoka . Kinondoni inaweza kuwa na wachagga wengi kuliko moshi mjini mpumbavu mkubwa wewe
Hapa moshi hata Yesu agombee CCM hlf chadema waweke jiwe..basi watu wanachagua jiwe..MOSHA H A P I T I.
wana moshi tunamchagua mtu siyo mabango yenu.
Hapa moshi hata Yesu agombee CCM hlf chadema waweke jiwe..basi watu wanachagua jiwe..MOSHA H A P I T I.