CHADEMA wanaweza kupoteza jimbo la Moshi Mjini

CHADEMA wanaweza kupoteza jimbo la Moshi Mjini

Mcheza kwao hutuzwa! Wachaga wanajuana, unafikiri kwa nini mnyika kahama ubunge kaenda kugombea kibamba? Undugunization inahusika sana pande zetu.

ukabila ndiyo Sera ya maccm mkiishiwa HOJA kwa hiyo sikushangai
 
Mimi binafsi naona kati ya ngome (majimbo) ya CHADEMA kote nchini, kazi nzito na ngumu itakuwepo Ubungo na Moshi mjini, kwa mtazamo wangu naona yataenda CCM
 
Davis Mosha anapoteza fedha zake tu ,aendeleze biashara yake ya malori ya rizmoko tu.
 
Yale mabango ni pesa zinaingia kwenye halmashauli yetu, Kwahiyo alete mabango mengi tu..tutachukua pesa. Tunaenda kulipia ada watoto wasio na uwezo.. Kampeni wamefungua jana, kaja kinana, olesendeka, sijui nani,, chadema wamezindua kampeni na ndesa pesa tu..hiyo tosha ni kuwa Mosha Hawezi mziki wa chadema moshi.. Mama minde alipigiwa kampeni na mkapa, na viongozi wote wa ccm alikimbia asubuhi tu...Mosha Ajui kama Mwenyekiti wake kikwete alikuja moshi miezi minne nyuma,, akamsifia jafarry Michael kuwa kafanya kazi kubwa, akampongeza sana mbele ya viongozi wote wa chama chake na viongozi wa mkoa,, leo Mosha uje na pesa zako za kugawa tukupe ubunge? Huna hata duka la kuuza soda moshi... Jafarry kawapa ajira vijana watu.. Leo hii tukupe ubunge sahau.. Sasa kampeni tayari.. Sijui nani anasaidia kufanya mikutano maana, watakula pesa yako yote na utagundua umeliwa....... Pole
 
Acha ujinga wewe , nina video tatu zote zinaonesha Davis Moshi akikutana na umati unaoshangilia pipoz power na Lowassa Lowassa.... Acha kudanganya.
 
wewe jamaa piga mpunga wa jamaa yako tu basi na uendelee kumdanganya kuwa JF watu wamemkubali kinoma kumbe hola
 
Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town

Ukabila wa ki CCM CCM peleka mahali pake Lumumba.
 
Back
Top Bottom