Chimo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2008
- 714
- 364
Hapa moshi hata Yesu agombee CCM hlf chadema waweke jiwe..basi watu wanachagua jiwe..MOSHA H A P I T I.
Kuwa na Heshma na unachokiandika tena chunga saana huu si wakati wa kuchanganya vitu vya Kidunia na kiimani nadhani utakuwa umechanganya viroba na mikojo