CHADEMA wanaweza kupoteza jimbo la Moshi Mjini

CHADEMA wanaweza kupoteza jimbo la Moshi Mjini

kwa mujibu wa dr. Mihogo aka dr maliwa

hatuwezi kuendelea kuishi chooni(ccm) tutaishi kule chumbani penye kinyesi kwani ni rahisi kupiga deki na kung"ara................... Ni lowasa tu mambo mengine badae....tumechoka kuwa mateka wa choo(ccm)..........hata mkiwanunua wote sisi ni lowasa tu!!!! ..haturudi chooni tena..... Wala hatukubali tena kurudi kule escrow,epa,meremete,twiga kuporwa,ufisadi wa nyumba,ufisadi wa barabara...usifadi wa meli...ufisadi wa tembo(meno ya tembo)...ufisadi wa twiga....ufisadi wa wanyama kiboko....utajiri wa wachache...... Ukweli choo kinanuka toka mwaka 61 tumeluha vya kutosha sasa ni mwisho.....lowasa ni ikulu tu hamna namna tena
ulibusiga......! Lowasa ndo nini?
 
Kwa jinsi hali ilivyo, mosha atashinda ubunge moshi mjini, watabiri wa mambo huko moshi wanasema wanahitaji mabadiliko, wamechoshwa na utawala wa chadema moshi mjini, sasa wanahitaji mabadiliko, na dhana ya utani wa mpare na mchagga ndiyo kwa kiasi kikubwa itamfanya mosha ashinde!!

Utawala Wa Ndesamburo Moshi ndio umechokwa ??? Ama kweli Ccm inakufa mwaka huu
 
Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town

Jamaa juzi naona anagaia watu buku hamsini hamsini pale stend ya mabasi ya mikoani..!!
Kwa Moshi ninayoijua mimi hapati kitu pale..
Ivi unamjua Jaffary kweli wewe..!!
Maana hata kwa Goli la mkono moshi hawatoboi
 
Huyo mosha kazomewa stand jumatano namuona anajichekesha ssa ww unaesema ana sumbua labda chumbani kwako
 
Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town

Kijana acha utani kabisa "JAFARI M" NDO MBUNGE WETU KULE na kwenye kampeni NDESAPESA AMESEMA ATAMNADI VILIVYO YULE KIJANA NA NAFIKIRI UNAJUA NDESA ALIVYO MOYONI MWA WANAMOSHI MJINI...THEN GUESS WHAT W'LL HAPPEN THERE???
 
Jamaa juzi naona anagaia watu buku hamsini hamsini pale stend ya mabasi ya mikoani..!!
Kwa Moshi ninayoijua mimi hapati kitu pale..
Ivi unamjua Jaffary kweli wewe..!!
Maana hata kwa Goli la mkono moshi hawatoboi

Hajui KIJANA JAFARI NDO AMEFANYA LEO JIJI LA MOSHI MJINI LINAONEKANA NO.1 KWA USAFI HAPA NCHINI,SASA SIJUI WANAMOSHI NI WAJINGA KIASI GANI WAKAMPE JIMBO MOSHA MUUZA SEMBE WAKATI ALICHOFANYA JAFARI KINAONEKANA KILIMANJARO YOTE!
 
we mleta thread nazan ww cyo mkaz wa moshi. Hv unafaham kuwa JAPHAR ndo meya wa hapa, Hvyo kuzagaa kwa mabango ya Mosha cyo tija na ndo mana mpk meya akaacha aweke mabango yake ili kodi iende kwa muncipal..
MOSHI NI CHADEMA TOKEA 1995 na ccm hamtaa mtutawale hapa MOSHI hata cku 1..
nawashauri jitihada mnazotumia kulpata hili jimbo ni bora mngeongezea nguvu hko Lindi na mtwara coz mwisho wa cku mkshtuka mtakuta UKAWA tushachukua majimbo yote nchin..
#CHADEMA2015JAPHAR
 
Paka sasa upepo WA moshi MJINI unaonesha Davis mosha wa chama cha mapinduzi CCM anakubalika kwa vijana NA wazee..vile vile dhana ya ukabila inaweza kujitokeza baina ya wagombea hawa..sijui kama wachaga watakubali kuongozwa na mpare?Abel sere 4m moshi town

Wewe ni muuuuooongooo mpaka shetani anakuogopa, niko hapa moshi, njoo hapa Rauvert bar utanikuta, Mosha hawamtaki aslimia 90, na wamesema watakula hela yake saaan ila, kura asahau, wamesema hata nguo za kijani watavaa ila hawampii kura kamwe.
 
Davis ataliwa Hela kura chadema. Mzee Ndesamburo akisimama na KIJANA wake inatosha.
 
Upuuzi kudhani kwamba utajiri ndiyo kigezo cha kupata ubunge. /Uongozi.
 
Moshe ninaombeni kuleni Hela za fisadi. Utajiri wake una mashaka na anahusishwa na mwizi stadi anayeogopa Lowassa asiingie madarakani. Kwa kuwa pia Lowassa ni wa Kaskazini na yeye mpaka afe hakuna Rais wa kutoka Kaskazini.
 
Wenyeji wa jimbo la Moshi humu pigeni kampeni kwa kupitia simu. Waongozeni huko. Ila wachagga ninajua wana misimamo sana. Kula kijani kura UKAWA.
 
hilo hata Mimi nimeliona Davis mosha yupo vizuri kwani ukawa wamemuweka nani
 
Wachagga wao wanapenda kutawala kwa wenzao sasa tuone kama watamwacha mwenzao na kumchagua wa nje
 
Tunashukuru Davies mosha kuongeza mapato kwenye halmashauri ya moshi mjini ila hana chake..
 
Wenyeji wa jimbo la Moshi humu pigeni kampeni kwa kupitia simu. Waongozeni huko. Ila wachagga ninajua wana misimamo sana. Kula kijani kura UKAWA.

Wamuulize Mama minde kilichompata 2005 na kugawa kanga na vitu kibao Ubunge akausikia kwa Ndesa
 
Back
Top Bottom