CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

wanataka kufanya mikutano ya ndani waacheni wafanye mimi sijaona sababu ya kuzuia mikutano ya ndani ya vyama. Kikubwa tu ni kuhusu Corona
Mkuu ccm kamwe hawajawahi kukubali kuwa na ushindani tangu waanzishe hilo shetani lao
 
nashangaa kwa nn Msajili wa vyama hakifuti hiki chama au kukipa onyo kali maana kwa matamko yanyo tolewa na viongozi wake yanahatarisha amani ya Taifa letu. hawapaswi kufumbiwa macho.
 
Watakaoleta vurugu ni wale wanaowatuma jeshi la polisi kuwakamata CHADEMA.
Wangeachiwa wapayuke wenyewe tu bila kuwabugudhi.
 


Alaaa, inaonekana umelewa pombe kwa ela ya mavuno ya mpunga na umeamua kuandika huu ulevi, pole sana.
 
Twambie wanavurugaje amani wakati hawana jeshi, hawana siraha, hawana serikali. Hofu yenu ni nini? Waacheni uone litakalowapata.
 
Mtutano wa ndani unahusisha wanachama wa Cdm pekee. Kongamano je?

..unahusisha wanachama, waalikwa, na watakaojitokeza na kuruhusiwa kuhudhuria.

..kongamano, warsha, semina, mdahalo, ...ni aina za mikutano ya ndani.
 
Hawawezi mkuu!..

Michadema hakuna kitu waliwahi kufanikisha
 
Una uhakika?

..Ndio.

..kongamano, warsha, semina, mdahalo, vyote hivyo ni mikutano ya ndani.

..Polisi wamewaonea Chadema kwa kuzuia kongamano lao.

..Watu wanaojadili katiba hawawezi kuwa na nia ya kuharibu amani ya nchi.
 
Mbona mnaogopa sana Katiba Mpya?
 
kilaza ktk ubora wako
 
..Ndio.

..kongamano, warsha, semina, mdahalo, vyote hivyo ni mikutano ya ndani.

..Polisi wamewaonea Chadema kwa kuzuia kongamano lao.

..Watu wanaojadili katiba hawawezi kuwa na nia ya kuharibu amani ya nchi.
Unadhani mikutano ya ndani inaitwa ya ndani sababu inafanyika kwenye ukumbi?

Mikutano ya ndani ya Chadema ni ile inayohusu masuala ya ndani ya Cdm?
 
Unadhani mikutano ya ndani inaitwa ya ndani sababu inafanyika kwenye ukumbi?

Mikutano ya ndani ya Chadema ni ile inayohusu masuala ya ndani ya Cdm?

..mimi nimeelewa ni mikutano isiyo ya hadhara.
 
Hii nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria tufuate sheria.
Wananchi wanapenda chama kimoja.

Ushindi wa 100% serikali za mitaa 2019 na ushindi wa 99.9% katika ubunge 2020 ni ushahidi tosha.
 
Wewe msukule wa jpm ujue boss wako alishakufa.
 
Sema hivi wanapambana na uharamia wenu,hivyo huwezi kuwapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…