Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mkuu ccm kamwe hawajawahi kukubali kuwa na ushindani tangu waanzishe hilo shetani laowanataka kufanya mikutano ya ndani waacheni wafanye mimi sijaona sababu ya kuzuia mikutano ya ndani ya vyama. Kikubwa tu ni kuhusu Corona