Uchaguzi upi unaozungumzia na hiyo CUF yako sijui yenu,maana kama huna kumbukumbu tembelea tovuti ya tume ya uchaguzi uangalie mgombea wa chama gani alikuwa wa pili,lakini kabla hujaenda huko nakukumbusha kwamba siasa za kujiongopea mwenyewe hazitakusaidia mkuu,be realistic ina maana hujui kama chama cha CUF kilikuwa cha tatu nyuma ya CDM?Leo unaposema tusubiri uchaguzi unadhani itakuwaje sasa.La, CUF haifanyi mambo yake kwa maagizo ya CHADEMA, ila ni pale mnapoilaumu CUF kwa kuingia SUK wakati na nyie mlikuwa mkiishabikia! Kesho mtakachofanya ni kujikusanya DAR nzima ila ukifika uchaguzi ndio utathibitisha kuwa Temeke CUF ina nguvu. Hakuna haja ya kubishana, kuna tofauti kati ya kujaza umati kwenye mikutano na kura.
mke hatongozwi tena.Akikata mbake,mwenyewe ata..... raha.
Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema CHADEMA kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.
Akizungumzia mwaliko wa CHADEMA kuitaka CUF kushiriki mapokezi ya wabunge wa upinzani kesho na hatimaye kushiriki mkutano wa pamoja Mtatiro amesema kamwe CUF haiwezi kushirikiana na CHADEMA.
e
Mtatiro amesema mwaliko wa CHADEMA ni wa kisanii na wamegundua Temeke ni ngome kuu ya CUF kwa hiyo CHADEMA haiwezi kupata watu mkutanoni bila kuishirikisha CUF.Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? Mtatiro amelalamika CHADEMA inatafuta umaarufu Temeke kupitia mgongo wa CUF.
Kwa upande wake Chama cha NCCR Mageuzi kupitia Katibu Mkuu Sam Ruhuza kimesema kitashiriki kikamilifu mapokezi hayo kwani CHADEMA siyo adui yao bali adui yao ni CCM tu.
Wabunge wa CHADEMA na NCCR waliungana pamoja bungeni kupinga uonevu,ukandamizaji na udhalilishaji wa Spika wa bunge Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai dhidi ya Upinzani bungeni.Hata hivyo mara zote CUF wamekuwa wakiungana na wabunge wa CCM kuwapinga wapinzani wenzao.
Kesho Jumapili CHADEMA imepanga mapokezi makubwa na maandamano kisha mkutano mkubwa wa hadhara Temeke Mwisho kwa lengo la kulaani ukandamizaji wa Spika na Naibu wake.
Source:Tanzania daima/Nipashe.
Uchaguzi upi unaozungumzia na hiyo CUF yako sijui yenu,maana kama huna kumbukumbu tembelea tovuti ya tume ya uchaguzi uangalie mgombea wa chama gani alikuwa wa pili,lakini kabla hujaenda huko nakukumbusha kwamba siasa za kujiongopea mwenyewe hazitakusaidia mkuu,be realistic ina maana hujui kama chama cha CUF kilikuwa cha tatu nyuma ya CDM?Leo unaposema tusubiri uchaguzi unadhani itakuwaje sasa.
Hiv kwa uku bara kwenye majimbo meng cuf wanawabunge wa ngap ukiacha zenj...cuf imebak historia,naona lipumba anajikomba sana kwa kikwete lakin mzee wa magogon hampii hata ukurugenz wa soko la samak feri hahahaaaaaaa kwel ndoa ndoano
Majimbo ya CHADEMA 2015 yatapungua, ngoja uone, halafu CUF tunarudi kushikilia kambi ya upinzani 2015.
CHADEMA inategemea nguvu ya wagombea zaidi kuliko chama wakati ni kinyume chake kwa CUF. 2015 lazima wachemshe!
Tatizo la Mtatiro hajui CUF ilipotoka,ilipo na inapoelekea!
Nawalaumu CHADEMA kwa kuwaalika hawa CCMb kujiunga nao!!!!
Kweli wewe hamnazo. Huko kwenu ndipo mnawategemea watu binafsi ili chama kiendelee kuwepo kwani bila wao cuf haitakuwepo.
Prof. Lipumba amegombea uraisi mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na anagombea tena 2015!
Alsultani Maalim Seif amegombea uraisi Zanzibar mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na anagombea tena 2015!
Kama kweli cuf ina hazina ya wasomi imekuwaje Lipumba na Maalim Seif wamekuwa wagombea wa kudumu wa cuf?
Lipumba na Maalim Seif wamekuwa viongozi wa kudumu wa cuf, hiyo hazina ya wasomi waliobobea iko wapi?
na CHADEMA waliwaarika wa nini?
Naamini ni kutoa lawama na kwa majibu haya nadhani kila mwenye akili atakuwa ameshajua nini kinaendelea na kwanini CHADEMA huwa hawaishirikishi CUF.
Dr Slaa amekuwa mbunge wa Karatu 1995 to 2005: ni sawa na miaka 15 na 2010 akagombea urais, vile vile 2015 ndiye mgomea wenu! Inakua miaka mingapi kwenye uongozi? 25 years, is it too much for him? Au CHADEMA haina hazina ya wsomi kushika hizo nafasi kwa vipindi vyote hivyo? Au DR ni mgombea wa kudumu na yeye?
Mtatiro ana titizo sana! Wasipo alikwa wana sema chadema wana watenga, wamepewe mualiko wanaanza kufanya kazi ya ccm!
Hivi tangia lini cuf wakawa na hati miliki ya maeneo? Huu ni ujinga wa mtatiro binafsi wala si wa wana cuf!
Dr Slaa amekuwa mbunge wa Karatu 1995 to 2005: ni sawa na miaka 15 na 2010 akagombea urais, vile vile 2015 ndiye mgomea wenu! Inakua miaka mingapi kwenye uongozi? 25 years, is it too much for him? Au CHADEMA haina hazina ya wsomi kushika hizo nafasi kwa vipindi vyote hivyo? Au DR ni mgombea wa kudumu na yeye?
Mbona unachanganya mambo? Unazungu mzia Uongozi au Uwakilishi?