CHADEMA Wamkubali Nape kwa maneno yake

CHADEMA Wamkubali Nape kwa maneno yake

Mkuu hujaeleweka bado mbona nilipogusia maandamano umekuja juu unastuka nini kama maandamano hayana tija???? CCM na viongozi wake ndio walificha fedha zetu Uswiss na kwingineko, wao kama serikali ni wajibu wao kufanya upelelezi na kuwakamata wezi au kukamatana, lakini unfortunately boss wetu anasema mwizi akirudisha fedha kama ilivyo kuwa EPA eti asamehewe!!! Kwa hapo uwezekano wa kutendea haki Watanzania waliodhurumiwa hakuna, ndio maana nasema tutahamasishana hata kama hampendi tuandamane kama Misri hadi haki itendeke, wezi woote wakamatwe na kuwekwa lupango, uongozi unaoficha wezi uondolewe madarakani!!!( Lets call a spade a spade not a folk) Mkuu upo hapo????
Sitetei ufisadi na wizi. Je inakuingia akilini kwa mtuhumiwa kujipeleleza na kujichukulia hatua? Unasema wapo CCM unajuaje kama wengine ndo waliokimbilia Chadema na kuwaona wasafi? Mi nasema tutumie njia ambayo imenyooka si ya kupinda pinda kama iliyopo sasa. Tuweke vitu hadharani bila kuficha kama kweli tunaipenda Nchi yetu tuache unafiki na sifa mfu
 
Bahati mbaya kwa nijuavyo mie Chadema haina kitengo cha wehu hivyo huwezi kupata hiyo nafasi.
Huwezi kukiona ukiwamo. Lini mvuta bangi akaona anachokifanya si kizuri? Labda aelimishwe
 
Mkuu hao wapiga debe na wavuta bangi ni nyinyi mliowatengeneza na sekondari zenu za kata mkawaacha bila ajira za maana, safari hii ni wengi saana kwa taarifa yako labda mtafute mbinu nyingine lakini hilo mnalo na manjua ukweli!!! Kuandamana kisiasa ni kudai haki kama hamtendi haki tutaandamana mtauwa wengi lakini The Hague inawangoja mifano mingi mnayo, mmeisha anza kushtuka, si ni kweli????

Kwni Chadema kikiingia madarakani kitawatumia hao hao kupata Viongozi bora ama kitanyofoa kutoka kwenye Vyama vingine?
 
Hivi kwa nini kila bomu analotoa nape linawafanya cdm wachanganyikiwe kwa nini hamko stable kama wenzenu ccm
Nani wakuwa stable pale? Slaa angekuwa stable asingeacha Upadri, Mbowe lini mfanyakazi wa Gest/Bar/Ukumbi wa desko akawa stable?
 
Kumbe na wewe bado umelala hujui kukutana na watu faida yake huwa ni kubwa sana kuliko kila kukicha kujiamlia tu? Mfano; Wewe kwa kuwa unaitwa baba wa familia kila kukicha unatoa amri tu kwenye familia yako, unafikiri maendeleo yatakuwepo? Kama yatakuwepo ni mfu siku ndoka tu yanaisha. Ndivyo Chadema wanavyojilea, siku Slaa akiondoka tu wanaanza kuhaha tete. Ugonjwa huu utafutiwe dawa
Sikujua ninajadili mambo na mgonjwa wa akili. Kwania njema kabisa naona tuachane na wewe kwani upeo wako wakuona mambo ni mdogo sana!
 
Daftari la wapiga kura lipo ila wafuasi waliowengi wa Chadema ni wa maandamano labda na kujiandikisha maandamano yaitishwe. Ili kukusanya wapigadebe, wavuta bangi na wengineo wengi na wala si hivyo tu, Hata siku ya kupiga kura maandamano yaitiswe pia. Dawa kuelimisha wananchi kwa ruzuku inayotolewa kwanza na kama mnasema ni kazi ya Serikali na kweli itakuwa kazi ya serikali miaka nenda.

kwanini ubongo wako unaoutput za kimaandamano? Umefuraia? We unafikiri kuna jema la upinza sisiem +mafisadi watakubali

kubeba wavuta bangi na kuleta watu kutoka maeneo mengine kwenda kwenye mkutano "kwa pesa chafu" unafikiri hatujui hilo ?!
Maana hujajibu mambo ya msingi niliyokuuliza! Rejea tena! Halafu ujibu
 
Post zingine hata kwenye dust bin hazifai maana zitachafua dust bin
 
Sitetei ufisadi na wizi. Je inakuingia akilini kwa mtuhumiwa kujipeleleza na kujichukulia hatua? Unasema wapo CCM unajuaje kama wengine ndo waliokimbilia Chadema na kuwaona wasafi? Mi nasema tutumie njia ambayo imenyooka si ya kupinda pinda kama iliyopo sasa. Tuweke vitu hadharani bila kuficha kama kweli tunaipenda Nchi yetu tuache unafiki na sifa mfu
Mara ngapi vitu vinawekwa hadharani lakini hakuna hatua, kuanzia Mwembe Yanga hadi sasa hakuna lolote la maana, hakuna njia iliyonyooka itakayoweza kuturudishia mali zetu na kuondokana na mikataba ya wizi. Kama imeshindikana tubaki kupiga kelele bila hatua yoyote, CCM wanazuia hata kufungua matawi ya chama itakuwa kukamata wezi wa mali zetu????

 
Yeke mura, mang'ana. Sasa nenda kachukue posho yako kwa Nape mura. Kazi uriyotumwa umefanya mura!
 
Hii ya anayejiita tata mura mtu kama huyu akiwa mtoto wako inabidi umgawe kwa kiroba cha mahindi atleast utapata chakula.
Bora kuliko kubakia kwa mzazi mzito wa fikra kama wewe.
 
Back
Top Bottom