CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Kwani Yeye ndiye MSAJILI?
Kwani yeye ni CAG?

Walioficha MABILIONI ya USWISS yamemshinda sasa hana hoja nyingine.
 
Hesabu huwa zinapelekwa kwa CAG kwa barua,
na zikishakaguliwa CAG wanaandika barua
na hati ya kukaguliwa;

Watuoneshe hati za kukaguliwa kutoka kwa CAG
vinginevyo hayo wanayosema ni sawa na hadithi
njoo na uongo kolea.

Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
 
Zitto aligongelea msumali wa mot0 kwa wapiga dili ndani ya vyama ndio maana waona povu jingi lawatoka hapa.

Hata kama mi mpitaji tu,
Ila nimekutana na wakat mgum,najaribu kuingiza taarifa hii ktk akili yang,ila nahis kama naingza gunia la mkaa kichwani.
Utendaji wa zitto kichama na kikamati sion relationship.
Bila shaka zitto anafurusa ya kukagua usafi wa nyumba yake kabla ya kuita wanausalama,
Mi nilikua napta tu jama ila nasema huyu siyo original zitto bali ni DECAYED ZITTO TO CHINA TYPE.
 
Nilijua kuwa vyama vya siasa vinapoomba pesa za ruzuku
ni lazima bajeti ya mkaguzi mkuu iwepo;

Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
 
Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI

UMAARUFU wake utaisha kama pipi inavyoisha ladha... Ina maana Z.Z.K hakulijua hilo!?
 
Zitto aligongelea msumali wa mot0 kwa wapiga dili ndani ya vyama ndio maana waona povu jingi lawatoka hapa.
Zitto mwenyewe mgonga dili kama wenzake tu kwenye vyama jamani aturudishie lori letu alotumia kumwaga makokoto kwenye barabara ya mwandiga ambayo sasa inawekwa viraka kwa kushika tenda mbovu kabisa aliyojineemesha
 
Slaa amechukizwa sana na mahesabu kukaguliwa. Kwanini???

ni aibu sana kwa mtu mzima kujifanya mwehu,dr slaa katoa tamko wapi la kuchukizwa na suala la ukaguzi ambalo kimsingi lipo kisheria? utakuwa umevurugwa si bure!
 
Kakuambia tayari yeye ni maarufu hiyo attention itamsaidia nini? Sema kijana anatishia ulaji wa wanasaccoss wenu wa chadema.
Mbona Zitto mlaji na mlafi zaidi ya wana saaccos wenziwe wa chadema Zitto rudisha fedha za Buzwagi tena cheap kabisa dola elfu kumi tu ikakumaliza hakuna Buzwagi wala nini mwanasaccos huwa hutowi gawio wewe
 
Eti na yeye ndio alikuwa anautaka uenyekiti wa Chadema sasa leo si kila mtu angebaki mdomo wazi? Ndio maana tunapopinga wehu kukabidhiwa chama tuna sababu za msingi, sasa mwaweza kujionea wenyewe.

Ninaamini kamati kuu ya Chadema ina watu makini, siku jina la Zitto likifikishwa mezani kwaajili ya uenyekiti, naamini kwa moyo wangu wote, yule atakae lileta itabidi ale mikwaju kwanza kabla ya kumpiga chini huyu mwehu mwenyewe,
 
Nadhani kuna majibu yametoka kwa CAG, kuwa hajapewa fungu la kukagua Vyama.Kwa statement hii wa kulaumiwa ni wizara kutopanga fungu la kukagua vyama.Hata PAC wamepose hii case without thinking broader.majibu wanayo wanatupotezea muda wetu na kutafuta umaarufu.Wanasiasa HATARI
Hivi kwanini tunajifanya tunachukizwa na ubadhirifu wa hela za umma, vitu kufanyika bila ya kuheshimu sheria. Wakati wachache wanaojitokeza na kujaribu hata kuona watu wanaheshimu taratibu tunawaita watafuta sifa Zitto sifa, Mwakyembe nae sifa, Magufuli sifa.

Pengine alishajua CAG akagui huko wala hana muda hii ndio namna moja ya kumuwajibisha na yeye vilevile kama muhusika let people do their work tumejizoesha sana viongozi wanaopiga longolongo wale wanaotaka atleast taratibu ziwe zina heshimika ndio tunataka kuwapa label, hili taifa vipi.

Kosa lake liko wapi ripoti zenyewe amna kama taratibu zinavyotaka sasa wazembe ni wengi hapa vyama vya siasa, CAG na msajili. Hayo wanayo taka kuweweseka nayo sasa ni ya baadae tunajuaje labda matumizi ya vyama vyote yako sawa kimahesabu na kisheria. Mbona mnaitimisha kama vile ameshajua kuwa kuna walakini kwenye ripoti wakati ndio kwanza anaziomba na kuna uzembe wahusika wamelala. Mtu kufanya kazi anatafuta sifa tutafika kweli.
 
Hii issue mbona CHADEMA wameivalia njuga kuliko vyama vingine? Komu ameshasema taarifa ya Zitto haikihusu chama chake labda vyama vingine, mbona wana chadema hapa jamvini wanatokwa na mapovu sana sasa?
 
Hivi kwanini watu wanalialia kisa kukaguliwa matumizi ya ruzuku ndani ya vyama vyao? Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa sisi walalahoi na washabiki wa siasa tunamshambulia zitto kwa hoja yake nzuri na kizalendo.
 
Itajulikana tu ni nani anaongea ukweli. Isije ikawa CDM na CCM walichagua Auditors wao ambao CAG hajawapitisha.
 
Mbona Zitto mlaji na mlafi zaidi ya wana saaccos wenziwe wa chadema Zitto rudisha fedha za Buzwagi tena cheap kabisa dola elfu kumi tu ikakumaliza hakuna Buzwagi wala nini mwanasaccos huwa hutowi gawio wewe

Hivi kwanini watu wanalialia kisa kukaguliwa matumizi ya ruzuku ndani ya vyama vyao? Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa sisi walalahoi na washabiki wa siasa tunamshambulia zitto kwa hoja yake nzuri na kizalendo.
 
Hata kama mi mpitaji tu,
Ila nimekutana na wakat mgum,najaribu kuingiza taarifa hii ktk akili yang,ila nahis kama naingza gunia la mkaa kichwani.
Utendaji wa zitto kichama na kikamati sion relationship.
Bila shaka zitto anafurusa ya kukagua usafi wa nyumba yake kabla ya kuita wanausalama,
Mi nilikua napta tu jama ila nasema huyu siyo original zitto bali ni DECAYED ZITTO TO CHINA TYPE.

Akimshika mtu na hatia ndio utajua kadecay/chanize type au ni mtanzania.
 
Sijaelewa hii tabia tutaiacha lini! kamati imetoa tamko kupitia mwenyekiti wake. Tunajitahidi sana kupotosha umma kwa kushawishi kuwa msemaji katoa tamko kama yeye binafsi. Hivi kwa nini kama kuna kasoro katika tamko tusiilaumu kamati nzima badala ya mwenyekiti au aliyetoa tamko. hatuna sababu ya kumshambulia Zitto as a person au kama kiongozi wa CDM wakati tamko lile hakulitoa kama naibu katibu mkuu wa CDM. Let us address issues on the statement rather than attacking personalities.
 
Back
Top Bottom