CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Wakati wowote ule, sijapata kuelewa Wanasiasa humaanisha nini kwa maneno "Masilahi ya Umma"? Kuna kila haja ya kupata tafsiri ya Kikatiba ya maneno haya ili kuepusha mkanganyiko katika matumizi yake.

Maswali:
  1. Iwapo siku ya PAC kuwahoji Makatibu Wakuu Dr.W.Slaa atakuwa na udhuru wa kushindwa kuhudhuria, ni nani ndani ya CHADEMA anapaswa kumwakilisha?
  2. Na, Je kwenye Jopo la kumuhoji mwakilishi wa CHADEMA Zitto atasimama kwa kofia ipi? Hakuna mgongano au mgogoro katika vyeo vyake dhidi ya azma iliyo mbele yake?

Zitto mwenyewe anatakiwa kutoa majibu kama kiongozi ndani ya chama kwanini mahesabu ya chama chake hayajakaguliwa
 
Mnataka kutota kwenye mambo ya KATIBA MPYA na kutuhamishia huku. Zitto anajua anachofanya na CHADEMA wanajua nini Zitto anafanya au anataka kufanya.

Tuwaachie wenyewe watajua cha kufanya mimi na wewe ni porojo tu bora kuongelea Katiba mpya yenye maslahi yetu. Kama ni Kodi kutafunwa mbona tunaona hata huku uswahilini viongozii wanavyozitafuna bila uwoga?


uko sahihi mkuu lakini cha mhimu ni kujua ukweli wa kila kitu,huwezi ukawa sehemu moja tu,hii ni nchi vyote vinaenda kwa pamoja
 
Una uhakika Mh Zitto ana MBA?? Au unataka na wewe kujidai wamjua sanaaa ??

Kwani Masters in Economics nayo ni MBA??

Nifahamishee

Nijifanyte kumjua ili iweje, FYI sihitaji hata kufahamiana naye, yeye ni public figure and so his profile can easily be found.

I have to admit my bad, I meant Masters! I wonder how did I do that...Ni mazoea pia ya kuandika in shorts! I understand ni Masters in Economics, nilipitiwa hapo mkuu. I also extend this to ZZK pia...I am sorry..

It has to read as you corrected!
 
Nimewai kuandika post yenye kichwa "naibu katibu mkuu", baadhi ya watu waliishambulia sana post hii lakini kila kukicha yanaibuka yale yale niliyoyasema ndani yake.

Naibu ni mnafiki, ni mbinafsi, na mpenda sifa. Hizi ni sifa zake kuu na huwezi kumtenganisha nazo hata iweje. Naibu ni bingwa wa kujipambanua kama mzalendo na mjamaa lakini kiundani hana sifa hizi bali ni unafiki tu ili aonekane ni tofauti na wengine wakati ni walewale.

Naibu kaja na mpya, Kwa mfano... Mwalimu mkuu msaidizi ateuliwe kuwa mjumbe wa balaza la mitihani, then ajitokeze na kuishutumu shule yake ile ile kuwa haijasajiliwa kwa kisingizio tu kuwa anatetema maslahi ya kitaifa kupitia ujumbe wa baraza la mtihani, Hiki ni kichekesho.

Kama kweli ni mtendaji mzuli kwa nini hakushinikiza uongozi wa shule kuisajili shule walipokuwa kwenye vikao vya shule.Kama si unafiki ni nini?? Haya ndo ya naibu. Baada ya kuona Hoja yake ya MAPESA ya uswiss IMEPOKWA NA SERIKALI, naibu katafuta pa kutokea.
  • Je kwa miaka yote minne NAIBU hakuwai kuudhuria vikao vya juu vya chama
  • Kama mtendaji mkuu, basi naibu kashindwa kazi kwa sababu hana tija ndani ya chama kama hata kashindwa kukishauri chama kwa miaka yote hiyo minne
  • Naibu ni mnafiki, hata kama ni mwenyekiti wa kamati haimvui cheo chake na majukumu ndani ya chama. Pia kila anapohudhuria vikao vya chama huchukua posho, mbona hajawi kuikataa hiyo posho kwa misingi kuwa ni pesa isiyokaguriwa.
  • Naibu mpenda sifa anasema vyama viache porojo, Je ni kweli kuwa siku zoote chama chake kinapokuwa majukwaani kikihubiri ukombozi wa kiuchumi ni POROJO.
  • JE KIPI NI BORA kushauri mapema ili kukwepa matatizo au kusubili matatizo ili UKOSOE hadharani na kujifanya wewe ni mtu safi? (NAIBU mpenda sifa)
NAIBU KATIBU MKUU hii ni kali tena,Sijui baada ya hii utakuja na IPI
 
Tangu Zitto atake hesabu za Chadema zikaguliwe, chama chake kimemjengea uadui wa ghafla. Kwani hesabu kukaguliwa kuna ubaya gani? mnaficha nini kwenye hivyo vitabu?

acha kupotosha we mburula,vyama vyote havijakaguliwa kikiwemo ccm kinachobeba zaidi ya nusu ya ruzuku yote,mnadhani hiyo nayo ni inshu ya kututoa kwenye mjadala wa katiba mpya? kalaghabaho!
 
PAC wameuingia mkenge mtego wa Zitto.Kwa akili ya kawaida tu anayesakwa hapo ni CCM kama CDM wana barua ya msajili kukiri kupokea hesabu zilizokaguliwa toka CDM na NCCR kwa nini mnatokwa mishipa ya shingo?
 
Zitto na chama chake wakabidhi hivyo vielelezo ikiwa ni pamoja na hati ya ukaguzi kwa kwa mwenyekiti wa kamati ya poac Zitto.
 
Zitto tangu afanyiwe ile oparesheni pale India amekuwa kama kabadilishiwa ugonjwa,

Nafanya utafiti kujua ni ugonjwa gani anaoumwa kwa sasa,
 
Tangu Zitto atake hesabu za Chadema zikaguliwe, chama chake kimemjengea uadui wa ghafla. Kwani hesabu kukaguliwa kuna ubaya gani? mnaficha nini kwenye hivyo vitabu?
ha ha ungemuona NAPE alivyodondokwa mate sasa hivi ka maneno ya David Ramadhani katika kipindi cha baragumu si Msajili wa vyama wala CAG anayepatikana ofisini kila mtu kwenye mkutano jiulize CCM wanaficha nini ha ha chekesha wewe
 
kama zito angekuwa anahusika na upindishwaji wa mambo ndani ya chadema asingepiga kelele ukiona hivyo hela wanakula wachache yeye hazipati ndiyo maana inamuuma kweli sasa kaamua wapambane tu.
 
kama zito angekuwa anahusika na upindishwaji wa mambo ndani ya chadema asingepiga kelele ukiona hivyo hela wanakula wachache yeye hazipati ndiyo maana inamuuma kweli sasa kaamua wapambane tu.
Alitakiwa kuyaweka wazi hayo mkuu kwani yeye kasema kwa maslahi ya umma yuko tayari kunyongwa
 
Zitto tangu afanyiwe ile oparesheni pale India amekuwa kama kabadilishiwa ugonjwa,

Nafanya utafiti kujua ni ugonjwa gani anaoumwa kwa sasa,

Eti na yeye ndio alikuwa anautaka uenyekiti wa Chadema sasa leo si kila mtu angebaki mdomo wazi? Ndio maana tunapopinga wehu kukabidhiwa chama tuna sababu za msingi, sasa mwaweza kujionea wenyewe.
 
Back
Top Bottom