CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Kama unataka publicity unaenda kwa vyombo vya habari lakini kama unataka kuwa clean na ku maintain status na personality you go for legal stage!!!

Mbona sasa mnajichanganya kutuhumu vyama kupitia vyombo vya habari?
 
Mbona sasa mnajichanganya kutuhumu vyama kupitia vyombo vya habari?

Na hili ndio tatizo sasa nani katuhumiwa hapa??!!!!!

Vyama vinavyopata ruzuku vipeleke mahesabu kwa CAG period!!!!!!!!!

Hii ndio madhara ya kuzoeana sana na kutokuwa na heshima juu ya organs yaani kama hapa anaangaliwa Zitto usoni na sio kamati sasa!!!!

Kwanini imegeuka kuwa malumbano oooonh mi nimekaguliwa,mara ooonh ana ajenda ya siri,oooonh hakutakiwa kusema hadharani,wengine wanasema sio kazi yao sijui kumlazimisha nani!!!!!!

Ni amri ya kamati tekelezeni waungwana kama mmeshakagulia CAG atasema tu kwamba nyie mlishakaguliwa haina haja ya kurudia!!!!

Hivi huu mjadala ungekuwa unalenga kuongeza ruzuku lakini ni baada ya kujiridhisha kwa hiyo wapeleke hesabu kwa ukaguzi tena hili songombingo lingekuwepo kweli?????!!!!! Wangefanya kazi usiku na mchana ku meet deadline!!!!!!!

Hiki kigugumizi kinaashiria kitu
 
Nina mashaka Zitto ana wadudu wengi wa malaria kichwani. Kama vipi aende India akapimwe kichwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa msajili kufanya nini??? Hizo taarifa zilizo kwa msajili ni barua tu na sio ripoti. Ripoti zinapelekwa na CAG. Huwezi kupeleka ripoti ya audit umejifanyia mwenyewe. Ripoti ya ukaguzi inayo kubalika ni ya CAG tu! Na CAG anasema yeye hajakagua chama hata kimoja sababu hana budget

Sasa kama CAG hajakagua kwanini vyama vya siasa vinaandamwa? Vyama huwa vinajikagua na kupeleka hesabu zake kwa CAG kwa ajili ya yeyey kuvipangia mkaguzi na vimefanya hivyo sasa shida iko wapi kwa vyama vya siasa?
 

Inashangazasana, kama wameshakamilisha kila kitu maneno ya nini sasa si wapeleke iliwaukamate uongo wa mwenyekiti wa PAC nakamati yake?
Hapo kuna jambo zito mno mtakuja kulisikia tu,wanasema CCM ukoo wa mapanya wakati wao ndio mapanya buku kabisa wanakula nakumaliza mboga yote.
Kama mtarejea nyuma kumbukeni aliyekuwamuhasibu wao bwana Mwigamba kwa ninialiamua kuacha kazi hapo makao makuu ya Chadema? Aliacha kazi kwa kuandikabarua baada ya kutokea chuki kubwa kati yake na mke wa katibu mkuu Bi JosephinMushumbuzi, chuki ambayo ilibebwa kwa nguvu zote na Dr Slaa baada ya mwigambakukataa kuuza program Fulani ambazo mamahuyo alitaka kukiuzia chama kwa zaidi ya shilingi milioni 26.baada ya mwigambakukataa dill hilo la mama, zikaanza chuki kubwa baina na katibu mkuu na muhasibu wake kutokana na shinikizo la mke wa Dr Slaa na hapo ndipo muhasibu huyo akaamua kuandikabarua ya kuacha kazi kuepusha balaa .
Kama hiyo haitoshi nyumba waliyopangachadema ambayo kwa sasa inafanywa kamaofisi ya mabaraza ya chama iliyopo jirani tu na makao makuu ya Chadema hapo Kinondoni, inamilikiwa na mbunge wa vitimaalumu Bi Sabreena Sungura, nyumba hiyoilianza kulipiwa kodi kabla hata hawajaamia na ilianza kukatwakodi mapema na fedha hizo zikasaidia kumaliza nyumba hiyo.
Jamani chadema wana madudu CCM wanafunzi, katika kipindi chamwaka 2012 mwishoni hadi 2013 mwanzoni chama hicho kiliagiza mzigo wa kadi nabendera kwa pesa nyingi sana na pesazikadaiwa kupelekwa China ili mzigo uje,hadi sasa hakuna mzigo wala mjomba wake mzigo pesa zote zimeliwa na wajanja ,na badala yake chama kikaingia ubia na mchaga mmoja ili atengeneze vifaa vyachama na kuuza , mchaga huyo duka lake kaliweka katika ofisi za mabaraza yachama hicho hapo hapo kinondoni, kwahiyo suala la Bendera na mamilioniyaliyochukuliwa kuagiza bendera hizo limezikwa kidizaini na wajanja, hakuna wakuhoji tena.
Yapo mambo mengi ya Chadema yanatia kinyaa kwa kweli, chama ambachowatanzania wanakiamini kuwa ni cha uwazi hakuna uwazi wala ukweli hapo bali ni NG’O ya wajanja wachachewanaotumia fedha za chama kujinufaisha matumbo yao, na wajanja hao hawazidihata wanne.

Inashangaza sana, kama wameshakamilisha kilakitu maneno ya nini sasa si wapeleke ili waukamate uongo wa mwenyekiti wa PAC na kamati yake?
Hapokuna jambo zito mno mtakuja kulisikia tu, wanasema CCM ukoo wa mapanya wakatiwao ndio mapanya buku kabisa wanakula na kumaliza mboga yote.
Kamamtarejea nyuma kumbukeni aliyekuwa muhasibu wao bwana Mwigamba kwa nini aliamua kuacha kazi hapo makao makuuya Chadema? Aliacha kazi kwa kuandika barua baada ya kutokea chuki kubwa katiyake na mke wa katibu mkuu Bi Josephin Mushumbuzi, chuki ambayo ilibebwa kwanguvu zote na Dr Slaa baada ya mwigamba kukataa kuuza program Fulani ambazo mama huyo alitakakukiuzia chama kwa zaidi ya shilingi milioni 14.baada ya mwigamba kukataa dillhilo la mama, zikaanza chuki kubwa bainana katibu mkuu na muhasibu wake kutokana na shinikizo la mke wa Dr Slaa na hapo ndipo muhasibu huyo akaamua kuandikabarua ya kuacha kazi kuepusha balaa .
Kamahiyo haitoshi nyumba waliyopanga chadema ambayo kwa sasa inafanywa kama ofisi ya mabaraza ya chama iliyopo jiranitu na makao makuu ya Chadema hapoKinondoni, inamilikiwa na mbunge wa viti maalumu Bi Sabreena Sungura, nyumba hiyo ilianzakulipiwa kodi kabla hata hawajaamia na ilianza kukatwa kodi mapema na fedha hizozikasaidia kumaliza nyumba hiyo.
chadema wana madudu CCMwanafunzi, katika kipindi cha mwaka 2012 mwishoni hadi 2013 mwanzoni chamahicho kiliagiza mzigo wa kadi na bendera kwa pesa nyingi sana na pesa zikadaiwa kupelekwa China ili mzigo uje, hadi sasa hakuna mzigowala mjomba wake mzigo pesa zote zimeliwa na wajanja , na badala yake chamakikaingia ubia na mchaga mmoja ili atengeneze vifaa vya chama na kuuza , mchagahuyo duka lake kaliweka katika ofisi za mabaraza ya chama hicho hapo hapo kinondoni, kwa hiyo suala la Bendera na mamilioni yaliyochukuliwakuagiza bendera hizo limezikwa kidizaini na wajanja, hakuna wa kuhoji tena.
Yapomambo mengi ya Chadema yanatia kinyaakwa kweli, chama ambacho watanzania wanakiamini kuwa ni cha uwazi hakuna uwazi wala ukweli hapo bali ni NG’O yawajanja wachache wanaotumia fedha za chama kujinufaisha matumbo yao, na wajanjahao hawazidi hata wanne.
















 
We acha kuhangaikia maisha unapiga mdomo oo ccm oo chadema. Mwisho wa siku maisha yanakugonga unaanza mengine.
 
Sasa kama CAG hajakagua kwanini vyama vya siasa vinaandamwa? Vyama huwa vinajikagua na kupeleka hesabu zake kwa CAG kwa ajili ya yeyey kuvipangia mkaguzi na vimefanya hivyo sasa shida iko wapi kwa vyama vya siasa?
Vyama havijikagui bana, vyama vinakaguliwa. Kwqa mujibu wa sheria mpya lazima vikaguliwe na mkaguzi anae teuliwa na CAG. (1) CAG hajateua mkaguzi, ndio kwanza anafikiria kumteua. (2) sio kosa ya vyama, ni kosa ya Bunge ilio kataa kumpa CAG budget.
Ukweli ni kua wamkane au wasimkane naibu katibu wao, Chadema (na vyama vingine vingi) hawajakaguliwa.
 
Back
Top Bottom