CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Zitto alisema anayo mamlaka kama mwenyekiti wa kamati hiyo kuwafunga jela wote wanaoendeleza malumbano hayo ilhali agizo lilishatolewa, na kusema kuwa hilo ni onyo kwa CHADEMA na CCM, aliodai ni vinara wa malumbano

AMEKUWA MAHAKAMA?
TANGU LINI KAMATAIIKAWA NA UWEZO WA KUFUNGA WATU JELA?
AMEVUKA MIPAKA
HUWA SIMWAMINI ZITO ANATAFUTA PA KUTOKEA KISIASA
 
si kweli sera za Zitto na Cdm ni vitu viwili tofauti kabisa, Zitto anasimamia haki ya msingi ya Mtanzania wakati Cdm wakiongozwa na Dr Slaa wanaongozwa na lugha nyepesinyepesi za ulaghai na za kinafki kinoma.
kwani Zitto kaondoka lini Chadema na lini kaacha kuwa Naibu wa Katibu Mkuu Dr Slaa hueleweki wewe so long Zitto yuko Chadema na ni Msaidizi wa Katibu Mkuu ni sehemu ya chadema
 
ni milioni 500 sio miamoja.
ha ha hizi ndio sera zinazowater down hoja ya Zitto hata ingekuwa nzuri namna gani ni kwa vile yupo hapa kwa ID zake mia moja alizonazo Kumnanga Dr Slaa that's why public inamuona anaendeleza personal vendetta zake anadhani atamshusha kweli boss wake kichama lets wait
 
Mkuu kama kuna mtu anatafutwa na kweli anafuja pesa au hafuati taratibu ubaya uko
wapi??????

Usipotimiza wajibu wako kuna mawili,upewe onyo kwa mdomo, barua au yote kwa pamoja. Mkosaji hachagui jinsiyakuwajibishwa

Hamana shida kama ni kweli kuna ufujaji, vile vile kama unataget mlengwa au unazungukazunguka na kujumlisha bila kumnyookea mlengwa. Hii paragraph yako ya pili nina shaka ya kwamba, unaweza ukawa umeoverlook, ukahukumu kwa mdomo barua au njia nyingine, then ukipewa maelezo ukakuta kila kitu kiko sawa nawe umeshabwata sana- utaonekana kiongozi hovyo na hata wakati mwingine unaweza kuchukuliwa hatua za kisheria in case uliyoyasema au kuandika yamecreate damage in one way or other kwa uliyemtuhumu. So ni muhimu kuuuliza au kutafiti kabla hujamwaga mchele kwenye kuku, ambayo sina uhakika kama poac wamefanya juhudi yoyote.
hivi utaratibu ukoje, CAG hutoka kwenda kupitia hizo report kwenye ofisi au ofisi hunyanyuka kwa wakati wao kusubmit financial report zao ziwe audited kwa CAG?
 
babu alishikwa na butwaa aliposikia kijana mwenye hoja na kipenzi cha vijana akidai vyama vya siasa havijakaguliwa. babu noma alianza kupika data ila hazijakubali kwa kuwa anaongoza kutumia pesa za ruzuku vibaya.
Kwa kweli Babu Kinana ndio Kwanza anawasindikiza alshabaab wasije wakaleta makubwa huku Zitto kachachamaa duh
 
Zitto ni mnafki. Period.

Yeye ni sehemu ya uongozi Chadema licha ya kwamba anaongea kwa niaba ya kamati ya PAC lakini ana uwezo wa kuwasiliana na viongozi wenzake internal. Huyu jamaa bichwa lilishamvimbaga kwa kutafuta sifa za kijinga ila kwa hili amejikaanga mwenyewe na kila mwenye akili timamu sasa anafahamu fika Zitto ameamuwa kupigana vita ya makundi ndani ya Chadema kwa kuitumia kamati ya PAC.

Vita hii haiwezi kwani atakuwa defeated tu, anajaribu kudivert akili za wajinga kutoka kwenye hoja kuu ya katiba mpya.

Nb: Eti kamati yenyewe ya PAC makamu mwenyekiti ni Aden Rage Al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za FAT.

Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za Simba pale Msimbazi na akabidhi pesa za Okwi.

Mzito-Bwela ni mzandiki! anatumiwa na mabwana zake ili kukichafua CDM na Dr Slaa kuelekea 2015
 
Nijifanyte kumjua ili iweje, FYI sihitaji hata kufahamiana naye, yeye ni public figure and so his profile can easily be found.

I have to admit my bad, I meant Masters! I wonder how did I do that...Ni mazoea pia ya kuandika in shorts! I understand ni Masters in Economics, nilipitiwa hapo mkuu. I also extend this to ZZK pia...I am sorry..

It has to read as you corrected!

Kiongozi hongera sana Tanzania na Dunia inahitaji watu kama ninyi.
Nimefurahi jinsi ulivyojibu, umejishusha chini hata nchi. MUNGU akubariki sana.
Pamoja na maneno yangu nakuomba soma kipande hiki cha hekima toka kwenye Biblia hata kama wewe sio wa imani hii

"Before his downfall a man's heart is proud, but humility comes before honor."-Proverbs 18:12

Kabla ya maangamizi moyo wa binadamu hujaa kiburi, lakini kujishusha/unyenyekevu hutakungulia kabla ya heshima--Tafsiri yangu
MUNGU AKUBARIKI SANA.
 
Ninaamini kamati kuu ya Chadema ina watu makini, siku jina la Zitto likifikishwa mezani kwaajili ya uenyekiti, naamini kwa moyo wangu wote, yule atakae lileta itabidi ale mikwaju kwanza kabla ya kumpiga chini huyu mwehu mwenyewe,
Kweli CDM inanipa raha sana yani nyie ndo makamanda mnaotegemwa,poor Tanzania.
Kosa la Zito ni kutaka vyama vikaguliwe?Unajua nyie misukule mnachukulia hili swala ni la Zito? hayo ni maamuzi ya kamati na ndani ya kamati wapo wabunge wa vyama tofauti. pia kwanini mtumie muda mwingi kumtukana kiongozi wenu hii inaonyesha wazi kambi mlizozijenga ndani ya CDM,kama KOMU anayo barua ya kutoka kwa msajili mmekua audited povu la nini? kweli naanza kuamini maneno ya B7.
 
Ningeshangaa usingetokea kwenye huu uzi kwani bila yeye usingekuwa na nafasi uliyo nayo huko ulikokimbilia?
 
Kweli CDM inanipa raha sana yani nyie ndo makamanda mnaotegemwa,poor Tanzania.
Kosa la Zito ni kutaka vyama vikaguliwe?Unajua nyie misukule mnachukulia hili swala ni la Zito? hayo ni maamuzi ya kamati na ndani ya kamati wapo wabunge wa vyama tofauti. pia kwanini mtumie muda mwingi kumtukana kiongozi wenu hii inaonyesha wazi kambi mlizozijenga ndani ya CDM,kama KOMU anayo barua ya kutoka kwa msajili mmekua audited povu la nini? kweli naanza kuamini maneno ya B7.
hapo ndio tunaposema Mr Chauma kwamba Mada ya Zitto ilikuwa nzuri sana na angesaidia nchi na kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma kama yanafanywa na vyama lakini kwa sababu watu kama nyie best friends wa zitto munakuja hapa jamvini with globalized allegations against chadema inaonekana ndio lengo la Zitto kuspin mada nzima na kuelekeza vita kati yake na Chadema , Kwani ni Komu tu alirespond maneno ya mwenyekiti Ruhumbiza katibu wako mkuu wa zamani alijibu Nape alijibu sasa kwa nini kujibu kwa KOMU kuwe ndio mada, Zitto hatoki hapa mpango wake wa kuchafua chama chake siku zotte umejitokeza wazi zinapokuja mada za kitaifa inazungumziwa billion 9 ya chadema tu lakini bilioni 41 ya vyama vingine imefukiwa kwa nini wananchi wasifikirie zitto anaajenda aliyotumwa na mabwana zake atashindwa kwa vile pepo lake chafu
 
Cdm waliliona hili Siku nyingi sana Kwani hii Luzuku ni Siku nyingi sana serikali Na msajili wa vyama walikua wakitaka kuifuta!
Na kuna tetesi ziliwahi kivuja za kupelekwa muswada bungeni wa kifuta Luzuku kwa vyama vya siasa Kwani hii Luzuku inaonekana kuwasaidia sana Cdm na hasa pale kinapotanuka na kua na nguvu na kuongeza idadi ya wabunge!

Sasa wamekuja na Style ingine ya Zitto, Hapa mlengwa mkubwa ni Cdm! Mi nilishangaa sana tangu mwanzo wa taarifa hii ilivyotolewa! Na moja kwa moja nilijua taarifa hii inalenga Cdm kuifutia Luzuku!

Nasema hili swala wamechelewa Zitto Na Hao waliomtuma. Kwani madhumuni ya kuanzisha M4C yalikua ni pamoja na Chama kujiendesha bila Luzuku.
Nakumbuka mkutano wa kwanza wa uzinduzi wa M4C uliofanyika Dar ulifanikiwa sana na michango iliotolewa Siku Ile ulikua mkubwa sana na ata Hao wanaotaka Cdm ifutiwe Luzuku walishituka sana.

Huyu Zitto anajulikana anafanya nini tunasubiri muda ufike ataondoka! Anajulikana na mwenzie Shibuda!

Lakini kwa swala la Luzuku wamechemsha!Cdm ni taasisi inayoweza kujiendesha bila ya Luzuku!
 
Zitto alisema anayo mamlaka kama mwenyekiti wa kamati hiyo kuwafunga jela wote wanaoendeleza malumbano hayo ilhali agizo lilishatolewa, na kusema kuwa hilo ni onyo kwa CHADEMA na CCM, aliodai ni vinara wa malumbano

AMEKUWA MAHAKAMA?
TANGU LINI KAMATAIIKAWA NA UWEZO WA KUFUNGA WATU JELA?
AMEVUKA MIPAKA
HUWA SIMWAMINI ZITO ANATAFUTA PA KUTOKEA KISIASA

alishawahi kusema hagombei ubunge, sa hivi anasema atagombea tena.

njaa mbaya sana.
 
Tatizo la zitto aliongea kwa ujumla kama angesema chadema wamepeleka ccm hawajapeleka angeonekana mchadema zaidi zitto ametumia ujumla ili kuepusha malumbano well done .
 
si kweli sera za Zitto na Cdm ni vitu viwili tofauti kabisa, Zitto anasimamia haki ya msingi ya Mtanzania wakati Cdm wakiongozwa na Dr Slaa wanaongozwa na lugha nyepesinyepesi za ulaghai na za kinafki kinoma.

Ni mtazamo wako. Ni muhimu tukauheshimu hata kama tunatofautiana. Dr. Slaa anatafsiriwa tofauti na watu tofauti ingawa siamini kama yuko tofauti na sera za chama chake
 
Michango mingi ya wana Jf wanaishambulia sana Cdm Kama ni Chama pekee kilichtajwa na Zitto.
Na hii inaonyesha wazi kua Cdm ndio mlengwa na ata Cdm wakifutiwa hii Ruzuku Mimi sitoshangaa Kwani Huu mpango ulikuwapo Siku nyingi sana Kilichokua kinatafutwa ni namna ya njia ya kupitia kufanya hivyo!

Tusubiri tuone mwisho wake! Lakini Cdm walishajiandaa kwa hili Siku nyingi na wanajua ipo Siku Ruzuku itafitwa!
 
Back
Top Bottom