CHADEMA wamfungulia kesi Nape

CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Natabiri kesi waliyofungua CDM dhidi ya Nnape itaharakishwa kufutwa kwa chama hiki na Tendwa ili wamlinde. Hii kesi ni kubwa sana na itakuwa ya kihistoria. CCM na Tendwa wao wameshaliona hili litakiharibu unafiki wao.
 
Hapo ni pazuri sana, Nape anakwenda kuwaaibisha vibaya sana. Mtanambia.

ebu nitajie mtu yeyotealiyepo chadema ambaye nape anaweza simama naye mahakamani katika fair ground, nape ngekuwa na akili angeshindwa kumsaidia kafumu asivuliwe ubunge au sio mkwe wa mamvi ashinde arumeru mashariki, hivi nape ni nani??? ameshindwa hoja ya kuvua gamba amebaki kupiga mayowe tu kama mzee wa kudondoka jukwaani(dhaifu jk)... kajipange mkuu,,,, sisiemu inanuka mbaya miaka 50 bado mnatoa ahadi tu.... ... leo kila sekta haiana amani kazi mnayoweza nyinyi ni kuua raia tu... MUNGU ATAWAONYESHA
 
uyo vuvuzela hana maana kabsa, anajiona yuko mbingu...ajui cku zaesabka.
 
ebu nitajie mtu yeyotealiyepo chadema ambaye nape anaweza simama naye mahakamani katika fair ground, nape ngekuwa na akili angeshindwa kumsaidia kafumu asivuliwe ubunge au sio mkwe wa mamvi ashinde arumeru mashariki, hivi nape ni nani??? ameshindwa hoja ya kuvua gamba amebaki kupiga mayowe tu kama mzee wa kudondoka jukwaani(dhaifu jk)... kajipange mkuu,,,, sisiemu inanuka mbaya miaka 50 bado mnatoa ahadi tu.... ... leo kila sekta haiana amani kazi mnayoweza nyinyi ni kuua raia tu... MUNGU ATAWAONYESHA

Ya nini kuandikia mate na wino upo? nendeni mahakamani, msije mkasema mahakama hazitendi haki.
 
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.

Unaweza kuwa sahihi, lakini kumbuka CHADEMA ni chama cha siasa, na kama walivyo wanasiasa wangeweza kupuuza bila kumfungulia mashtaka na watu wangesahau. Lakini kama wameweza kuchukua hatua chunga sana! Linaweza kugeuka na kuwa aibu yao akina nape! Nataka kukukumbusha kuwa magazeti yaliandika madai ya nape kuhusu vyanzo vya mapato vinavyozungumziwa. CDM ni chama makini na kinaongozwa na viongozi makini, bila shaka walianzia hapo katika maandalizi ya uwezekano wa kumburuza nape Mahakamani! Wamejiridhisha kuwa makanisa yanayotajwa kupitishia mabilioni yanayodaiwa na akina nape kuwa ni uzushi ndo maana wamemshitaki!
 
Ya nini kuandikia mate na wino upo? nendeni mahakamani, msije mkasema mahakama hazitendi haki.

Sio kwenda tu bali hata kuchangia gharama za kesi haisumbui, iwe mchana iwe usiku napi kwishinei.Mnadanganya huyo dogo mlitelekeza Kafumu na upendo wenu wa kinafiki nje gamba ndani sumu.
 
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Unitafute nikupe kinywaji bardiiiii maana wewe umekuwa mtabiri, na ikitokea akatoa ushahidi wa nguvu nikupe nusu ya utajiri wangu
 
Sio kwenda tu bali hata kuchangia gharama za kesi haisumbui, iwe mchana iwe usiku napi kwishinei.Mnadanganya huyo dogo mlitelekeza Kafumu na upendo wenu wa kinafiki nje gamba ndani sumu.

Na lile gazeti nimeliweka juu huko msilisahau.
 
Na lile gazeti nimeliweka juu huko msilisahau.

msije kuanza kulialia kwamba Nape anahujumiwa na Lowassa,huu msala amejitafutia mwenyewe kwa kujigeuza vuvuzela la watu wapuuzi ktk chama chenu!
 
Kwa kuwa serikali ya ccm inagawa/inauza rasilimali za nchi kwa wamerika,wachina,Afrika kusini,Uingereza,Ujerumani,Iran n.k Tusubiri Nape athibitishe tuhuma dhidi ya CHADEMA au angukie pua!
 
Mnazungumzia mahakama zipi?Kama ni za TZ,waliwateua majaji ni chama tawala.
 
Hakuna kesi hapo,chadema wangekuwa wanajiamini wasingefungua kesi,kwani imewaathiri nini kama jambo hilo si kweli,hiyo ni kuharibu muda na fedha badala ya kupanga mikakati ya kuchukua nchi.
 
Iko wazi kuwa chadema wanapata misaada kutoka nje. Pia CCM inapokea misaada kutoka nje na wafadhili wa magamba wanalamba rasilimali kibao ikiwepo madini. Tatizo lililopo hapa ni Nape kuropoka na kuhusisha na masharti pale chadema wakichukua nchi. Nape kajiropokea bila ushahidi na ndo kajinasa ktk mtego, tuache ushabiki tuongee facts
 
Ngoma kwa Nape is to be ready to prove beyond reasonable doubt.Hii phrase ya kisheria huwaga inanimaliza, kwani kama umetoa pumba shughuli unakuwa nayo

Kesi ya madai hutakiwi kuprove beyond reasonable dought ila on balance of probabilty.
 
Hii kesi inaweza kuwa ngumu sana kwa upande wa Nape kwa sababu kwenye madai yake (yeye Nape) ni kwamba kuna nchi za nje zinazotoa fedha kwa CHADEMA kwa makubaliano ya kuuziwa/kupewa rasilimali za Tanzania. Hapa issue sio kupekea pesa, ila atatakiwa athibitishe beyond reasonable doubt kuwa kuna nchi zimetoa fedha kwa masharti wa kupewa rasilimali za Tanzania. Sasa itakuwaje kama hizo nchi zitakataa?
Ndio maana naipenda JF,watu wanatoa vipande vidogo lakini vizito.Angalizo ni uwa Mafioso ndo wanaoongoza nchi na kama kawaida yao hawa katika payroll wana watu wa kutoka kila idara ukiwemo mahakama,bunge nahatandani ya Ikulu.Tusubiri tuuone.
 
Mbona ushahidi upo tena wa kutosha,Mbowe na Slaa wanakula pesa kwa mlango wa nyuma.Hapa professor Safari na mwanasheria wa mazingira wanatumika kama dekio tukitahamaki 2015 hiyo mwanaharamu keshapita.
 
Poor Lamwai!! Is he not the one by whose first name was Masumbuko? And where is he nowadays?...I head he is a gongoman...huh!!
 
Back
Top Bottom