MchukiaUonevu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 207
- 79
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.
Tuendelee kufuatilia
Updates.
Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .
Ya nini kuandikia mate na wino upo? nendeni mahakamani, msije mkasema mahakama hazitendi haki.
Anasimama na Lissu Mahakamani pembeni kuna Prof.Safari au kuna kitu gani kwa upande wa Chadema ? Na hii ndiyo watanzania watajua kwamba Chadema wako serious sasa .Komesha kuropoka bila ushahidi .Marando am sure hatakosa hapa kuongoza kuutafuta ukweli .
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Mimi sioni umuhimu wa hii kesi, ni kuendekeza uhasama wa kijinga. CDM walipaswa wampuuze Nape baas! Huku ni kupotezeana Muda na raslimali fedha
Nape kasema Chadema wanapokea pesa kutoka nje au wampokea. Sasa pesa kutoka nje zinaweza kuwa na maana pana.
Hata kama ni USD 500 walipokea kutoka kwa watanzania waishio USA Nape akitoa ushahidi wa kutosha basi kesi kwishnei.
Hivi kwenye uwanja wa kisiasa tukisema kila jambo lipelekwe mahakamani mahakama si zitajaa kesi za kipuuzi?? Hii ni kesi isiyo na maslahi kwa taifa na haimsaidii mtanzania maskini. Ni kutunishiana misuli kusiko na tija. Kukanusha kauli ya Nape kulitosha kuliko kukimbizana mahakamani.kwa uwezo wa akili yako finyu kama kiuno cha sisimizi ndio utaona hili jambo huoni umuhimu,tulia mnyolewe.CDM kuna wanasheria walio bobea hawana kazi,ndio mtawatambua sasa kama hawana utani