KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.
Tuendelee kufuatilia
Updates.
Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .
Kesho utasikia Nape/CCM wafungua kesi zidi ya Dr. Slaa/cdm