CHADEMA wamfungulia kesi Nape

CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Napenda sana haya mambo kwasababu yanafanya maisha yawe mapya kila siku. Kwenye nchi yenye matatizo kama hii, ni sinema za namna hii tu zinazoweza angalau kupunguza machungu ya maisha.

'watu wengine bwana'

Nimekuongezea hiyo nadhani ulikuwa umeisahau kuiandika
 
Kwahiyo unataka kutuambia kuna Nchi inakiboost CDM financialy?

That is what Nape anatakiwa athibitishe, na sio hilo tu, anatakiwa pia athibitishe kuwa hizo nchi zilitoa fedha kwa CHADEMA kwa makubaliano ya kupata rasilimali za Tanzania. Itakuwaje kama hizo nchi anazoongelea Nape wakakana? Huu mgogoro unaweza kuwa kidiplomasia - way beyond ipad ya Nape!
 
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.

Nepi Nnauye kwanza ni mbumbumbu wa sheria na hapo alipo hana ushahidi wowote!

Sana sana ataleta ushahidi wa kupika au kutengeneza kutoka kwenye mitambo ya CCM ya kuchakachua SMS/simu za uongo akisaidiwa na kichaa wake Mwigulu Nchemba. Nepi anafikiri anaweza kuropoka mpaka Mahakamani?Thubutu yake! Basi ajaribu aone moto wake. Hana akili ya kutafuta wala kupata ushahidi wa kweli na ndiyo maana kashindwa kupeleka ushahidi wa kumwokoa Mbunge wake wa Igunga Dr.Kafumu aliyeshinda kwa kubebwa na NEC na Serikali ya CCM!

Wewe subiri tu kama CCM hawaja mkimbia Nepi wao kama walivyomkimbia Dr.Kafumu Igunga baada ya kubwagwa Mahakamani na Wataalamu wa sheria wa CDM. Hivi unafikiri Nepi anaweza kukabiliana na maswali ya kisheria kutoka kwa Prof.Safari,Tundu Lissu au Mabere Marando?? Time gonna tell!

Nepi ni Kihiyo tu kama vihiyo wengine wa CCM.
 
Safi sana Big up CHADEMA hii ndio dawa ya watu wanaoropoka ovyo.
 
Mahakama ni yao, na hivi tena majaji wapya walioteuliwa na mwenyekiti wa ccm taifa na alishawapa maelekezo mpya ya maslahi ya ccm mbele! Uh!
Kweli mahakama ni yao ila watuthibitishie sababu hata benki kuu pia ipo chini yao, sasa rahisi kwao kusema hayo mabilioni yako akaunti ipi? kesi imefunguliwa na baraza la wadhamini ambao wanajua kiingiacho na kitokacho
 
Hii kesi inaweza kuwa ngumu sana kwa upande wa Nape kwa sababu kwenye madai yake (yeye Nape) ni kwamba kuna nchi za nje zinazotoa fedha kwa CHADEMA kwa makuliano ya kuuziwa/kupewa rasilimali za Tanzania. Hapa issue sio kupekea pesa, ila atatakiwa athibitishe beyond reasonable doubt kuwa kuna nchi zimetoa fedha kwa masharti wa kupewa rasilimali za Tanzania. Sasa itakuwaje kama hizo nchi zitakataa?

Nchi zenyewe ziwe Marekani, Japan, Uingereza au Scandnavian, ukiwasema tu bila ushahidi wa kutosha wanakatisha misaada. Hapo ndo kilio na kusaga memo kwa nchi nzima.
 
Hii kesi inaweza kuwa ngumu sana kwa upande wa Nape kwa sababu kwenye madai yake (yeye Nape) ni kwamba kuna nchi za nje zinazotoa fedha kwa CHADEMA kwa makuliano ya kuuziwa/kupewa rasilimali za Tanzania. Hapa issue sio kupekea pesa, ila atatakiwa athibitishe beyond reasonable doubt kuwa kuna nchi zimetoa fedha kwa masharti wa kupewa rasilimali za Tanzania. Sasa itakuwaje kama hizo nchi zitakataa?

Hapo ndipo ninapopasubili. Na tujue alikua anaropoka tu kila CDM wakifanya jambo au alikua anamaanisha.
 
ukisha ona unashindwa lazima utafute maneno mengi, CCM Hata siku moja haikurupuki, unawaona walioko CCM Lakini? CDM kuna nani? labda ZITTO TU ALIYEWAAMBIA CDM WENZAKE HAKUNA MSOMI KAMA YEYE, AND ITS TRUE, Ztto akitoka cdm kwisha,, Mwambie lema alienda UINGEREZA KUKAGUA MAHELKOPTA ALIKUWA ANAKUJUA, AU NDIO ANAJINADI AJIJENGE YEYE PAMOJA NA MBOWE NA FAMILIA ZAO? HUU NI MOTO WA KIFUU, WATANZANIA WANA AKILI SANA ,,,ENDELEENI KUANDAMANA WAKATI WENGINE WAKO KWENYE UTENDAJI!

Tupe CV ya Nape Nauye.

Huyu Vuvuzela wa wa CCM ana elimu gani zaidi ya kuhuzulia Kivukoni College na mikutano ya UVCCm? Hivi unaweza kumlinganisha na kina Dr.Slaa, Prof.Safari, Prof.Baregu, Tundu Lissu,John Mnyika,Zitto Kabwe, Mabere Marando na wengineo wengi? You must be really joking my friend!
 
wakimaliza hapo wanamfungua nyingine ya msajili wa vyama siasa
 
Mimi nadhani nanza kuwaelewa hawa CHADEMA kazi yao kubwa ni kuset precedency ili ukweli ujulikane kutokana na matukio mbalimbali yanayowafika,wanaiambia jamii na dunia kwa mfumo wa kitaalamu sana, nadhani wana political strategist wazuri mno ,katika mambo mengi huwa wanawabana CCM na serikali wao bila kujijua kwa ujinga wao wamejikuta mara nyingi wamenasa na kuleta athari kubwa kwa mfano

Mara nyingi Chadema walikuwa wanalalamika kwamba wanaonewa na mikutano yao huwa inakatazwa na fujo huwa zinaanzishwa na Polisi bila sababu za msingi sasa kupiga mabomu ofisi za chadema nyololo ,kifo cha kikatili cha Mwangosi kimethibitisha hayo tumekubushwa sasa kuwa IGP Mwema hakupaswa hata kuwa kwenye nafasi hiyo ya IGP kwani alishapata kashfa yakuuwa wananchi kule Mbarali wakiwa mikononi mwa Polisi

Swala la Nape nadhani kisiasa lingeweza kuachwa lakini katika kesi kuendeshwa na ushahidi kuanza kutolewa siajabu wao CDM ,wanajua jinsi CCM ilivyo na fedha zinazotoka kwenye vyanzo mbalimbali yakiwemo makampuni makubwa yaliyopo nchini na unaweza kuwekwa wazi duh

Hawa CDM ni handle with care

Ni chama thabiti kilichojipambanua wazi na kilichojijenga kuwaongoza watanzania miaka ijayo Mungu akipenda kuanzia 2015.
 
Akisimama Marando, Lissu na Safari atapita mtu kweli? Kazi anayo Nnawiye!
 
Kumbe wana Imani na mahakama hizi,siasa kweli noma,haki unaposhinda,ukishindwa hakuna
 
Wakati wa uzinduzi wa kampeni ya M4C dar es Salaam kupitia Star TV,CDM kupitia Mbowe waliahidi huu ni wakati wa Actions na siyo blah blah. Go on makamanda,
 
Mimi nadhani nanza kuwaelewa hawa CHADEMA kazi yao kubwa ni kuset precedency ili ukweli ujulikane kutokana na matukio mbalimbali yanayowafika,wanaiambia jamii na dunia kwa mfumo wa kitaalamu sana, nadhani wana political strategist wazuri mno ,katika mambo mengi huwa wanawabana CCM na serikali wao bila kujijua kwa ujinga wao wamejikuta mara nyingi wamenasa na kuleta athari kubwa kwa mfano

Mara nyingi Chadema walikuwa wanalalamika kwamba wanaonewa na mikutano yao huwa inakatazwa na fujo huwa zinaanzishwa na Polisi bila sababu za msingi sasa kupiga mabomu ofisi za chadema nyololo ,kifo cha kikatili cha Mwangosi kimethibitisha hayo tumekubushwa sasa kuwa IGP Mwema hakupaswa hata kuwa kwenye nafasi hiyo ya IGP kwani alishapata kashfa yakuuwa wananchi kule Mbarali wakiwa mikononi mwa Polisi

Swala la Nape nadhani kisiasa lingeweza kuachwa lakini katika kesi kuendeshwa na ushahidi kuanza kutolewa siajabu wao CDM ,wanajua jinsi CCM ilivyo na fedha zinazotoka kwenye vyanzo mbalimbali yakiwemo makampuni makubwa yaliyopo nchini na unaweza kuwekwa wazi duh

Hawa CDM ni handle with care

Wadau JF....Tujukumbushe:
IGP Mwema 'yawezekana anayo akili na mtaalam mzuri', kama taarifa zinavyoonyesha, na amesifiwa sana ukanda wote wa Afrika Mash na Kati tangu akiwa Interpol, ....ILA TU AKILI NA UTAALAM WA MTU YEYOTE YULE, HATA KAMA NI MZUNGU AU EXPERT IKISHAINGILIWA NA 'MENDE WA KIJANI' wanaojilamba kwa ufisadi hapa Tanzania, pamoja na UBONGO wao ULIOROJEKA KIUONGOZI KAMA AKINA 'VUVUZELA' na ukijijua 'Expert ' na elimu yako ukapotea njia kuwafuata, hakuna rangi ambayo hutaiona!

Na huyu IGP Mwema alishakubali, ameshaingizwa choo cha kike na sasa ni mmoja wao, analala nao, anakesha nao anapanga nao mipango...na anapewa kazi ya kuitekeleza yeye pamoja na vijana wake ambao wengi ni waliosoma hadi daraja 0, na sasa IGP anaonekana wazi kuwa ni kati ya muflis kiuongozi, hali inayofuta 'automatically' manufaa na sifa yoyote ya zamani...

Ningekuwa yeye ningeshajiuzulu ili Watanzania wasiendelee kunitoa maanani na kunipuuza kama inavyoendelea sasa...sio mzaha watanzania wasio na kosa kuuwawa kwa faida ya 'mende wa kijani' ambao leo au kesho hawako madarakani..Mwema utaenda wapi?? Vuvuzela -NAPE atakusaidiaje, na kwa lipi kama wewe ni MSOMI wa Interpol kweli?? Useless!

KWA HILI LA KUISINGIZIA CHADEMA, NAPE LAZIMA ALALE RUMANDE AU APELEKWE GEREZA LA KILOMBERO ili wana-Moro au wana-Iringa wafarijike kwa damu iliyomwagika hivi karibuni katika kuitafuta haki! Hakuna muda wa kuvumilia mende kuitishia kabati!

CDM ni ya Watanzania wote na si CCM ya wahuni wasiofikia hata mil 5. Watanzania Mil 45 ukitoa hao CCM Mil 5, je Milioni 40 wote wanaangamizwa haki zao na Polisi na akina VUVUZELA?? NO WAY!! no more!!
 
Hapo ni pazuri sana, Nape anakwenda kuwaaibisha vibaya sana. Mtanambia.
 
Back
Top Bottom