CHADEMA wamepoteza mvuto, CCM wajiimarisha zaidi kwa hoja

Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

Pamoja na haya yote, Effective January 2016 watoto wa dada zako wataanza kupata huduma za chakula shuleni, na shemeji yako ataanza kufikiria kujenga nyumba yake mwenyewe ya kisasa kwa ajili ya familia yake na wewe utaweza kupata mkopo benki kwa riba isiyodhidi 10% na mama yako ataanza kununua sukari kwa bei isiyodhidi shilingi mia tano kwa kilo.
 
Yan mtoa mada anaonesha jinsi alivyo dhaifu- ukweli ni uhuru.

Yan pamoja na hali ngumu ya maisha bado unaona nyiemu ni chama imara,kweli wewe ni kipofu- ukweli ni uhuru.

Je mwigulu,lusinde walikuwa wana toa hoja?
Nafikiri una matatizo ya kuona- ukweli ni uhuru.

Ni wasiwasi na huwezo wa kichwa chako- ukweli ni uhuru

wewe ni dhaifu zaidi ya jk- ukweli ni uhuru.
 
Ahahaha! ama kweli ban inatafutiwa mtu.
Kwanza kasema wanaJF 100% ni wanaChadema ina maana ni pamoja na yeye mwenyewe na bado anasambaza uongo huo huo.
Nani alisema Mchungaji hatakiwi kufuata ya Kaizali? Je, vipi kuhusu Madaktari, MaProfessor ambao ni wabunge nao waache ya Kaizali? au Mtoto wa Mkulima!..
Kazi ya mbunge ipi kama sii pamoja na kutunga sheria. Na mwisho Sidhani kama unaijua kazi ya Upinzani bungeni, tofauti ya sera ndio kiini cha ushauri unaozungumzia. Na mwisho jaribu sana kutofautisha yale ulosema ya Kaizali mwachie Kaizali maana unachanganya sana kati ya mwanachama na chama, halafu pia hii mihimili mitatu yaani Bunge, Mahakama na Serikali hujui mipaka yake.
 
nafikiri unatamani CDM wapoteze mvuto, afu ccm nyota ing'ae! You wish....hukatazwi kuota! Keep dreaming, labda kuna siku utaamka uikute dunia yote ya kijani!
 
Hizi ni akili za kitoto sana, na sitegemei binadamu mwenye akili timamu kuchangia hoja kizembe kama hivi.
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

Kwa taarifa yako hata kama chadema ikifa ccm haishindi 2015, tuko tayari kupigia kura hata mbuzi kuliko ccm. PAMBAFU
 
Pamoja na haya yote, Effective January 2016 watoto wa dada zako wataanza kupata huduma za chakula shuleni, na shemeji yako ataanza kufikiria kujenga nyumba yake mwenyewe ya kisasa kwa ajili ya familia yake na wewe utaweza kupata mkopo benki kwa riba isiyodhidi 10% na mama yako ataanza kununua sukari kwa bei isiyodhidi shilingi mia tano kwa kilo.

ebu lipe kubwa jinga ilo, kazi umbea ili lipate walau posho ya bukumbili
 
Ahahaha! ama kweli ban inatafutiwa mtu.
Kwanza kasema wanaJF 100% ni wanaChadema ina maana ni pamoja na yeye mwenyewe na bado anasambaza uongo huo huo.
Nani alisema Mchungaji hatakiwi kufuata ya Kaizali? Je, vipi kuhusu Madaktari, MaProfessor ambao ni wabunge nao waache ya Kaizali? au Mtoto wa Mkulima!..
Kazi ya mbunge ipi kama sii pamoja na kutunga sheria. Na mwisho Sidhani kama unaijua kazi ya Upinzani bungeni, tofauti ya sera ndio kiini cha ushauri unaozungumzia. Na mwisho jaribu sana kutofautisha yale ulosema ya Kaizali mwachie Kaizali maana unachanganya sana kati ya mwanachama na chama, halafu pia hii mihimili mitatu yaani Bunge, Mahakama na Serikali hujui mipaka yake.
mweleze pia hata yesu alipofika ekaluni kukuta watu wanafanya biashara kwenye nyumba ya baba yake kama alivyodai alipatwa na ghadhabu na kuanza kutimua vitu na watu sembuse msigwa
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.
hivyoo yale mabilioni mia tatu ya uswiss nayo chdema imezusha?
 
GREEN, mie CCM mwenzako. I can prove it kuwa jamaa kakamatwa na mke wa mtu. Marafiki zangu police Singida wamethibitisha. Na tena alihojiwa mpaka mchana police station. Jamani, kujiosha huku hakutusaidii chama chetu, lets try kuwa wakweli, tumfukuze huyu, pamoja na Malima na wote wenye kashfa za mangono, wananchi watatupenda tena. CCM forever
 
Kutokana na unafiki,uongo,kejeli na jaziba za wanaCHADEMA ,wabunge na wafuasi wao katika wiki iliyopita imedhihirisha hawana uwezo wa kuongoza nchi hii yenye kila aina ya changamoto.Nitafafanua baadhi ya uongo wa WANACHADEMA;
Mosi,Walimshambulia sana Mh.Simbachawene(NW-Nishati) kwa uzushi ati amefumaniwa na kukatwa mkono huko SINGIDA.Wameumbuka kwa uongo uliokubuhi,nikajiridhisha kuwa hiki chama ni cha Waongo,kwani 100% ya wanaJF ambao ni CHADEMA walitumia simu na mitandao ya kijamii kusambaza uongo huu.
Pili,Jazba ya muhuni mmoja anajiita Mchungaji,ndg.Msigwa,hafanani hatakujiita mchungaji kwa hasira alizonazo.Mahakama inafuata sheria na ushahidi zaidi kuliko hisia zako
nakushauri ukasome biblia vizuri;YA KAISARI mpe KAISARI na YA MUNGU mpe MUNGU,siasa ni busara zinatawala na uwezo wa kujenga hoja.
Tatu,Viongozi wenu wanafiki,hawajui kujenga hoja katika bajeti kwa kisingizio ati lazima wapinge kila kitu ndiyo maana ya upinzani....Jamani bungeni si sehemu ya kuigiza mambo ya DEBATE MOTION ni sehemu yakuishauri serikali nini kifanyike ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Nadhani wabunge wengi waCHADEMA wamepata ubunge kwa bahati mbaya....bado wanaweweseka pia elimu ndogo.

Rai yangu kwa wana CCM wote,mapinduzi ya kweli yapo ndani ya CCM na sikukimbilia upinzani,tuache uoga kuchambua mapungufu ya serikali ili tuimarishe chama chetu.
Hongera sana Mh.Mpina,Filikunjombe,Lugola,Mkono ,Mwakyembe,Zambi kwa kuonyesha njia,nawengine wafuate mfano huo.Serikali imewapa uhuru wa kujadili kila kitu kwa uwazi zaidi.

Wakati unawapa hongera, wao wanatafutwa na chama wakapewe discipline. Sidhan kama kuna atakayethubutu kuiga!
 
Umenena mkuu huwa Ban zangu nyingi nazipata kupitia thread kama hizi

Kiongozi mbona inaonesha una siku nne umejiunga? au umekula ban hili ni jina jipya?

Join Date : 22nd June 2012
Posts : 90
Rep Power : 319
Likes Received17
Likes Given8

The following user groaned greenstar for this useless post:
Genecius Kaiza (26/06/2012)
 
Najilaumu kwa nini nimesoma huu *****!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuanzia mwanzo hadi mwisho, hamna la maana.. eti CCM ina wasomi, na CHADEMA haina. Heee, Kumbe Prof. Maji Marefu kwenu CCM ni msomi maalumu eeeeeeeeeh!!!! CCM ni kweli haina mvuto.

CCM NI SAWA NA TIKITI MAJI, NJE NI RANGI YA KIJANI, LKN NDANI NI NYEKUNDU.
 
Back
Top Bottom