Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,884
- 21,714
Ruzuku sidhani kama inatosha kwa hii attack waliyofanyaHivi kwni chama huwa hakipati ruzuku? Mwaswali gani unauliza?
Hahahaa......ukijaribu kuwanunua ndio i akuwa gharama zaidiHiyo ndiyo " NGUVU YA UMMA"
Ukipendwa na wananchi, wataota Mali zao kukusupport, ila usipopendwa utajaribu kuwanunua!!
Wewe unadhani kiasi gani kinatosha?Ruzuku sidhani kama inatosha kwa hii attack waliyofanya
Wananchi ndio wenye pesa,tax payers,Hahahaa......ukijaribu kuwanunua ndio i akuwa gharama zaidi
Jamaa wanatumia akili kuliko nguvu kama CCMNimefatiia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikunwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self motivation, fedha Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Hoja yako ina mashiko snChadema ni watu na watu ndio sisi kwahiyo uskonde Chadema ni wewe Mimi na Yule.
AiseeJamaa wanatumia akili kuliko nguvu kama CCM
Kweli nguvu ya umma inaonekana laivu.Chadema ni watu na watu ndio sisi kwahiyo uskonde Chadema ni wewe Mimi na Yule.
Sasa mbona Rais anataka kutumia kosi zetu vibaya kama ndio hivyo?Samia amechukua kodi zetu na kuwapa chadema
Mama kawapa.Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wannchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo.
Inahitaji self motivation, fedha, Munkali na Kujituma sana. Je Chadema wamepata fedha wapi?
Wamegawana Nchi vipande vipande, kanda ya ziwa wapo, Mashariki na Pwani wapo kaskazini na Nyanda za Chini Kusini wapo.
Safi sanaMama kawapa.
Lengo ni kuhadaa jumuiya za kimataifa kuwa mikutano ya demokrasia ruksa.Sasa mbona Rais anataka kutumia kosi zetu vibaya kama ndio hivyo?