Jaribuni kufanya maandamano muone maji kuwasha yapo kama tani 50,000 virungu tani 70.
Vikosi vya MP toka vita vya Kagera havijafanya kazi yoyote.
Nimsaidie katika hili. Pengine anazungumzia nguvu ya Dola iliyotumika kuzima maandamano ya Waislamu hasa kuingia kwa JWTZ kwenye operesheni. Wadadisi wa mambo wanaona kama salamu tosha kwa CDM. Uhalali wa JWTZ kutumika kuzima maandamano ya waislamu ndiyo huohuo huko mbele ya safari utakaotumika kuizima CDM.
Kwa maana hiyo ukichanganya nguvu hiyo ya dola na kuminywa kwa nafasi ya kura (chaguzi) katika kufanya mabadiliko ya kisiasa nchini, ni wazi safari ya mabadiliko imejaa miba mingi inayowataka makamanda kuwa tayari kuikanyaga pamoja na wao kuwa peku.
Naona umeshavaa Tineti unawahi kwenye hitma ndio maana unaropoka Kama kichaaBoflo,
Hakuna kumungunya maneno Chadema wakifanya maandamano bila kibali lazima watandikwe virungu na mabomu kama wanavyotandikwa wengine nchi yetu ya amani hatuwezi kukubali wahuni wachache wavunje amani.
Wanoko tunakusubiri kwenye udaku kumbe upo huku? Kwa jinsi ninavyokujuaWana Chadema wamejipanga, wamejidhatiti kuhakikisha 2015 wanachukua nchi, na endapo watashindwa na CCM
Watatumia nguvu ya Umma kuiondoa CCM madarakani. Maandamano ya karibuni ya Waislamu yamewashtua sana
Chadema na wamekiweka chama chao njia panda...
Mimi sina Chama chochote cha siasa, lakini nimeona haya Maandamano ni tishio kubwa sana kwa Chadema.
Tuko na safari ndefu sana kuiondoa CCM madarakani
Mkuu Boflo sijakuelewa, maandamano ya waislamu yanaiathiri vp CHADEMA??
Wana Chadema wamejipanga, wamejidhatiti kuhakikisha 2015 wanachukua nchi, na endapo watashindwa na CCM