Chadema Wako Dilemma....

Chadema Wako Dilemma....

13.png
...........
 
Mami Boflo, wee rudi kwenye JAMII Photo tu utuwekee vitu vipya.

Siasa za Tanzania naona huzifahamu na au zinakupiga kushoto....

Hebu ona ya leo......

usitumie Vuvuzela
Iron%20under%20pants.jpg

Boflo hapo juu ulikuwa umewaza nini?
 
Nilikuwa najiuliza kama Wafanyakazi hawana mishahara, Serikali imekaukiwa pesa na wafadhili wanabana matumizi maana hata kwao kunawaka moto. Huku, jini Ponda na watu wake limeanza kukua kwa kasi tangu walitowe kwenye chupa.

Fedha ya mabomu ya machozi mwisho pia zitaisha na mafuta ya gari la washawasha nazo zitakosekana. Sasa hapo ndipo unaweza kuona kumbe hata NAZI yaweza kuvuta Sigara na Bubu akataka kusema (Bichuka).
LoL! Sina jibu la swali lako Mkuu Sikonge labda tuwasubiri GT wengine watusaidie kulijibu swali hili... Gaijin, Boflo na MziziMkavu mpo!? hebu jaribuni kulidadavua swali hili.
 
mi nadhani kama huna hoja ya msingi hakuna haja kupost mambo yasiyokuwa ya msingi.jamani mbona watanzania huwa hatukui kimawazo?
 
Wana Chadema wamejipanga, wamejidhatiti kuhakikisha 2015 wanachukua nchi, na endapo watashindwa na CCM

Watatumia nguvu ya Umma kuiondoa CCM madarakani. Maandamano ya karibuni ya Waislamu yamewashtua sana

Chadema na wamekiweka chama chao njia panda...

Mimi sina Chama chochote cha siasa, lakini nimeona haya Maandamano ni tishio kubwa sana kwa Chadema.

Tuko na safari ndefu sana kuiondoa CCM madarakani

Rudi darasani kwanza ndio tuendelee.
 
Havikufanya kazi yoyote vinasubiri maandamano ya Chadema.

Mkuu Leo we Na Boflo mmeleta mada gani, mbona hamueleweki! Hapo dilemma ya Chadema Na maandamano ya Waislamu yanahusianaje? Mshauri rafiki yako Boflo arudi kwenye mada zake naona hajui anachokiongea!
 
Mkuu Leo we Na Boflo mmeleta mada gani, mbona hamueleweki! Hapo dilemma ya Chadema Na maandamano ya Waislamu yanahusianaje? Mshauri rafiki yako Boflo arudi kwenye mada zake naona hajui anachokiongea!

394645_321948104566092_822278910_n.jpg
 
Jukwaa hili halikufai, nenda lile jukwaa la uroda wewe ndo nyumbani kwako. Siasa za CDM v/s CCM, Uislamu v/s Ukristo zitakupasua kichwa wewe!!!!
 
Ok jaribu kutetea hoja zako!

1. Ni vipi chadema wako kwenye dilema?

2. Mahusiano ya maandamano ya waislam na cdm!

3.je kwanini unasema cdm watatumia nguvu ya umma kuiondoa ccm madarakani? Je hiyo nguvu ya umma kwa nini isituingize madarakani?

Nimsaidie katika hili. Pengine anazungumzia nguvu ya Dola iliyotumika kuzima maandamano ya Waislamu hasa kuingia kwa JWTZ kwenye operesheni. Wadadisi wa mambo wanaona kama salamu tosha kwa CDM. Uhalali wa JWTZ kutumika kuzima maandamano ya waislamu ndiyo huohuo huko mbele ya safari utakaotumika kuizima CDM.

Kwa maana hiyo ukichanganya nguvu hiyo ya dola na kuminywa kwa nafasi ya kura (chaguzi) katika kufanya mabadiliko ya kisiasa nchini, ni wazi safari ya mabadiliko imejaa miba mingi inayowataka makamanda kuwa tayari kuikanyaga pamoja na wao kuwa peku.
 
Halafu kwa kuongezea Wakristo na Waislamu wanakuwa upande mmoja katika kuipinga Serikali hii dhalimu.

Nilikuwa najiuliza kama Wafanyakazi hawana mishahara, Serikali imekaukiwa pesa na wafadhili wanabana matumizi maana hata kwao kunawaka moto. Huku, jini Ponda na watu wake limeanza kukua kwa kasi tangu walitowe kwenye chupa.

Fedha ya mabomu ya machozi mwisho pia zitaisha na mafuta ya gari la washawasha nazo zitakosekana. Sasa hapo ndipo unaweza kuona kumbe hata NAZI yaweza kuvuta Sigara na Bubu akataka kusema (Bichuka).
 
Halfu Uamsho wanatumia alama za chadema, "v" tumeona Sheikh Faid akiipunga, na kuna siku nimemsikia akisema "mpaka kieleweke". Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Mkuu Ritz, kwa hiyo huu ni umaskini tunaelewa si kwa Waislamu pekee Na umesababishwa Na Chadema kwa sababu Chadema imetawala nchi hii miaka 50! come on Ritz be objective
 
Back
Top Bottom