Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,178
- 43,246
Huyu nae.
Jaribuni kufanya maandamano muone maji kuwasha yapo kama tani 50,000 virungu tani 70.
Vikosi vya MP toka vita vya Kagera havijafanya kazi yoyote.
Huyu nae.
@Bofloo.... maandamano ya Waislamu dhidi ya Serikali ya DHAIFU na chama chake twawala cha magamba, maandamano haya yanaiweka vipi CDM kwenye dilemma!? Magamba ndio inabidi waingie na wasiwasi maana kama vurumai hizi zikiendelea na waislam wengi kuamua kuachana na magamba kwa kutopiga kura 2015 au kupigia chama kingine basi magamba itakula kwao.
Haiwezi kula kwao....Magamba wana uwezo wa kupindua matokeo
@Bofloo.... maandamano ya Waislamu dhidi ya Serikali ya DHAIFU na chama chake twawala cha magamba, maandamano haya yanaiweka vipi CDM kwenye dilemma!? Magamba ndio inabidi waingie na wasiwasi maana kama vurumai hizi zikiendelea na waislam wengi kuamua kuachana na magamba kwa kutopiga kura 2015 au kupigia chama kingine basi magamba itakula kwao.
tunaomba kura yako
Vilifanya kazi siku ile pale kariakoo.Jaribuni kufanya maandamano muone maji kuwasha yapo kama tani 50,000 virungu tani 70.
Vikosi vya MP toka vita vya Kagera havijafanya kazi yoyote.
Boflo,
Hakuna kumungunya maneno Chadema wakifanya maandamano bila kibali lazima watandikwe virungu na mabomu kama wanavyotandikwa wengine nchi yetu ya amani hatuwezi kukubali wahuni wachache wavunje amani.
Vilifanya kazi siku ile pale kariakoo.
tishio kivipi?funguka zaidi.
By the way leo nimefurahi umeongelea siasa na kuweka ngono pembeni.
Je kila anaye fanya maandamano bila kibali ni muhuni?