CHADEMA wakiri Lema hakupigwa ila..

Nov 4, 2010
83
2
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks
 
Story kama hizi huwa zinakwenda na tag ya SOURCE:......................................, ili story iwe credible unless huenda ikawa ni uzushi au source yako ni kutoka CCM
 
CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo
 
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks

Haina mantiki!
 
toa vielelezo ili twende sawa na uweze kutushawishi sio unabwabwaja tu
 
CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo

ni kweli hata mimi naona CDM ni watu hatari sana hasa kwa watu kama ninyi mlio jaa ubabaishaji huku mkijifanya kuwa maa analaiza wa politiksihuku mmejaa unafiki na kutaka kujitengenezea uwanja mkubwa wa kumiliki mali za umma kama ni maliza familia zenu,
hivi ni kweli mtu mwenye mtazamo uilioenda shule na uelewa mpana usiyo ma mtindio wa ubongo ndani ya ufahamu leo hii
uuone uhatari wa CHADEMA usiione hatari amabayo inakaribiwa kutangazwa na ccm?

yawezekana kweli wewe ni kipofu wa macho ya nyama na ya rohoni kwa kusoma alama za nyakati, lakini hivi ni kweli
uozo wa ccm unaweza kuwa huuoni? ama ndiyo ile ile ya mbuyu kuwa mparachichi na mparachichi kuitwa mwembe?

NOA kwanza akili yako kabla ya kuandika
 
CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo

Calling yourself genius brain is a tautology in terms . You could either be genius or empty jag . You can not be genius stomach can you ? Like wise you can't be genius brain. Do you understand what I mean? So it's no wonder why your post above reflects empty floating jag.
 
uwongo uongo bila kuwa na facts wana JF watu hawa hattuwataki :teeth::embarrassed:
 
CHADEMA ni watu wazushi na wasio na msimamo, ni watu hatari na wakuogopa kama ukoma. Ni watu ambao wanajifanya wapo kwa ajili ya watanzania kumbe sio, ni chui aliyejivika ngozi ya kondoo

Kumbe bado hujajifungua! Endelea kusubiri siku chache bado.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks

Mbona story yako haiendani na kichwa cha habari. Kwani kushikiliwa na police inamaanisha kuwa hakupigwa?? Acha ushabiki wa akina MS na JK wa ukweli, leta source na story inayoeleweka. This is JF!!!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks

sijaelewa kabisa
 
Kichwa cha habari kinatofautiana na ulichoandika. Nani kasema hakupigwa?
 
Hivi hawa wazushi wasowahurumia watanzania masikini wanatafuta nini hapa kwenye JF?
 
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks

Uchizi silazima uokote makopo..
 
safo sama Enyisile umempa huyo kibogoyo wa akili, ukweli, siyo anaongea kama haoni yanaendelea ndani ya ccm
tena aache unafiki
 
Back
Top Bottom