papason
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 5,119
- 5,683
Chama cha demokrasia na maendeleo, CHADEMA, kimekiri kwamba mbunge wake wa arusha, Godbless Lema alishikiliwa na kuhojiwa vizuri na polisi kufuatia fujo zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa meya wa jiji, ila walisisitiza kuwa uchaguzi haukuwa halali kutokana na walichokiita kutofikiwa 2/3 ya wajumbe husika.
Hawakufafanua ni kwanini na kama ni kweli.
Meya na naibu meya ni kutoka CCM na TLP kwa sasa. Thanks
Umekunywa vikombe vingapi vya mbege? au bado upo keroro?