CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

TUNASEMA UZALENDO NA ACT,mambo mengine baadae na kama jesh,police hawaja amka wajue mwaka huu wapo watakao tufanya tushindwe kwenda sokoni, nimuda wa kutazama mbele na kupima akilini wapi panafaa na wapi hapafai
Mkuu, staki kuamini kwamba hu ni uwezo wako wa kufikiri; visu na safety boot ni vifaa vya kijeshi? Anyway, just a homework to you, endelea kufuatilia mwisho wa hilo sakata kwa hao "Red brigade" utakavyo kua.
 
Huu ni upuuzi tuu wa wapuuzi wachache wanaotaka kuwafanya watanzania wote ni wapuuzi kwa kuwaaminisha upuuzi ulioratibiwa na wapuuzi wachache katika wakati huu wa uchaguzi kama mwaka ule wa uchaguzi 2005 tulipoona sinema ya IGP Mahita akitujulisha kwamba wamekamata sime na majambia vilivyoingiziwa nchini na CUF ili kuvitumia wakati wa uchaguzi.


Polisi na CCM watahangaika sana mwaka huu na tunatarajia kusikia na kuona sinema nyingi za kizushi juu ya vyama vyote vya ukawa.

ILA CCM WAJUE ANGUKO LAO LITAKUWA KUBWA MWAKA HUU
 
Hapa unaona nini:

attachment.php

Kwa haraka haraka naona visu, manati na t-shirt ya CHADEMA, na pia kwa ufaham wangu kumiliki vitu hivyo wala hahuhitaji KIBALI chochote. Sorry madam, zile silaha za kivita zilizokamatwa msikitini Morogoro na uzi wake kuwekwa humu, ulitoa comment gani kweli!?
 
th

th
th


MZIGO WA MILIPUKO HUPO NJIANI ; SLAA ALIFUATA MAREKANI; UTANI TU.

SAFARI YA DR SLAA ICHUNGUNZWE UPYA; LIPUMBA AZUILIWE KWENDA NJE YA NCHI ; MPK UCHAGUZI UISHE
 
Na wewe ndiyo mjinga na mwendawazimu kweli, Siraha za kivita kwani ni lazima yawe mabomu, mizinga na vifaru ? Manati ikipiga jicho la mtu haiwezi kusababisha madhara?. Ni kikao gani cha kimataifa, kitaifa, cha Mkoa, Wilaya, wajumbe wanaruhusiwa kuingia na Manati? kama hawaruhusiwi sababu ni nini? Acha upumbavu.
aliyekwambia ukienda vitani silaha yako ni manati na visu vya kukatia vitunguu huyo atakuwa amevurugwa na amekuvuruga na wewe pia
 
th

th
th


MZIGO WA MILIPUKO HUPO NJIANI ; SLAA ALIFUATA MAREKANI; UTANI TU.

SAFARI YA DR SLAA ICHUNGUNZWE UPYA; LIPUMBA AZUILIWE KWENDA NJE YA NCHI ; MPK UCHAGUZI UISHE
unauhakika na unachoKINENA?
 
Kwahiyo ninyi mkiingia madarakani mtalifanya jeshi liache kila chama cha siasa kimiliki vifaa vya kijeshi?

Vifaa vya kijeshi.. Yaani vifaru na jet fighter na .. Maana visu, nguo, kamba na hizo taka taka hazina maana yoyote! Ni yale yale ya mahita kuaminisha watu eti CUF wameingiza visu na majambia.

Hatuko makini na maendeleo ya nchi ndo maana wazembe wameshikilia kila raslimali na wanajichotea tu!
 
Manati na visu vya jikoni ndio vifaa vya jeshi?
Basi hilo jeshi lenu ni spesho sana..
 
Hivi visu hata vya kukati nyanya, mbona Masai wanamajambia wanatembea nayo hawakamatwi. Hizi ni probaganda za ccmpolisi.
 
th

th
th


mzigo wa milipuko hupo njiani ; slaa alifuata marekani; utani tu.

safari ya dr slaa ichungunzwe upya; lipumba azuiliwe kwenda nje ya nchi ; mpk uchaguzi uishe

acha kuwa mtumwa
 
Lissu waoneshe kuwa ni mbinu ya kitoto,wk moja hatutaku kusikia huu ipuuzi wa kesi.
 
Kama hivi ndio vifaa vya jeshi vinavyotishia amani basi mwaka huu kuna mtu atajifungua mtoto. kama si kujifungua basi atajambijambi sana.
Wana Ukumbi,

Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!

Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.

Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.

attachment.php


Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.

attachment.php


1.jpg


Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.

attachment.php


Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!

KWA WALE MNAODHARAU VISU KUTUMIKA KAMA SILAHA ZA KIJESHI, HEMU TAZAMENI HIVI VISU AMBAVYO NI MAALUMU KATIKA JESHI LA MARAKENI NA UTUMIKA PIA VITANI.



attachment.php



Pia itakumbukwa ni hivi karibuni tu kuna magaidi walikamatwa Morogoro wakiwa na vifaa vifuatavyo: silaha za sub machine guns, milipuko ya kulipulia majengo majambia, manati, bendera nyeusi, sare za jeshi nk. Hivyo kuna uwezekano mkubwa magaidi hao wakawa na uhusiano na vijana hawa wa CHADEMA. Hivyo jeshi la polisi halina budi kufanya upelelezi wa kina ili kuzuia vitendo vya kigaidi nchini.
 
Na mimi nina visu na panga nyumbani,nami nataka kupindua nchi kwa vifaa hivi vya kivita

Mimi nina visu sita, panga moja, sime moja, mishale na pinde, shoka moja, manati, fyekeo, jembe, sururu, rato na gumboot.

Kwa vifaa hivi nadhani mimi ni tishio kuliko redbrigedi.
 
Kwa kweli kufa kubaya lazima ujitahidi kujitetea hata kama unaona haiwezekani. Kweli mfa maji haachi kutapatapa. Poleni sana mwisho umeshafika hatuna jinsi lazima msome namba mwaka huu.
 
umeongea ukweli kabisa jeshi la polisi linazidi kujithalilisha kabisa hivi kweli ccm mmefikia hatua hii.
cc Pasco

Kwani mauaji ya rwanda walitumia bunduki ni mapanga mashoka visu na vitu vya namnahiyo
 
Last edited by a moderator:
Ndio madhara ya chama kuongozwa na mtu mwenye intelligence ndogo, Mbowe should be careful with what he is doing because he is going to cost CHADEMA the votes.
 
Back
Top Bottom