Polisi hawajui hiyo propaganda aliitumia Mahita dhidi CUF sasa hivi tunaifahamu.
Manati na visu ni silaha za kijeshi. Duuu maskini Tanzania nchi yangu!!! Wauza machungwa, mihogo mibichi, pweza wote hao wanatembea na silaha za kijeshi.
Ni maneno ya umati mkubwa wa watu waliolipuka kwenye ukumbi mmoja wa starehe kufuatia taarifa ya habari ITV kuhusiana na kukamatwa kwa silaha na vifaa vingine kwa mwanachama wa CHADEMA. Wameng'aka na kuonekana kuitaja ccm kama mhusika mkuu wakilinganisha kubambikiziwa CUF Miaka ya nyuma vifaa kama hivyo. Hakika kama ccm wakiendelea hivi sidhani kama tutafika.
mbona sijaona hapa SMG au GOBOLE !!! ningeona hivyo vifaa hapa ningeanza kutia mashaka lkn kwa hivi visu vya kukatia vitunguu hapa bado hamjanikamataWana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
![]()
Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
KWA WALE MNAODHARAU VISU KUTUMIKA KAMA SILAHA ZA KIJESHI, HEMU TAZAMENI HIVI VISU AMBAVYO NI MAALUMU KATIKA JESHI LA MARAKENI NA UTUMIKA PIA VITANI.
![]()
Pia itakumbukwa ni hivi karibuni tu kuna magaidi walikamatwa Morogoro wakiwa na vifaa vifuatavyo: silaha za sub machine guns, milipuko ya kulipulia majengo majambia, manati, bendera nyeusi, sare za jeshi nk. Hivyo kuna uwezekano mkubwa magaidi hao wakawa na uhusiano na vijana hawa wa CHADEMA. Hivyo jeshi la polisi halina budi kufanya upelelezi wa kina ili kuzuia vitendo vya kigaidi nchini.
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu
Kwa hiyo mnataka muachiwe mjiandae kuleta machafuko kwa kuogopwa kuwa ni chama cha siasa?Chadema inawindwa sana...lakini tutavuka tu...
Tatizo lako nini katika hili, idadi ya silaha hizo? Watasema tu zingine wameweka wapi ngoja wakaminywe makende kama hawajasema.Ila kweli polisi na CCM ni wameshachanganyikiwa na huyu mleta uzi ndio kabisa chizi hivi kweli visu vitatu na kofia mbili na manati na buti pair mbili ndio vifaa vya kijeshi vya kusambaza mikoa yote???msituone watz wajinga sana kwa taarifa yako tumeamka haswa
Kwani Chadema ni wawinda ndege? Tuache ujinga kabisa serikali ichukue hatua za haraka.Kuna na Manati, mawe na tu-visu. Hizi ni zana za kuwindia, tena vi-ndege.
propaganda za kijinga kweli za tabwe hiza sijui....yan manati ndo vifaaa vya kivita .vry shame ..policcm.angaikeni we ila mwisho wenu umekaribia.yan huo ujinga mwisho mwaka 1995 mwaka 2015 ni UKAWA..yan taasis kubwa kama CHADEMA ikose zana za kujilinda