Ni jambo la ajabu sana. Eti na vyuma vya mazoezi ya pus_ ups. Kwa mtaji huo, Watanzania hawtakiwi kufanya mazoezi ya viungo. Gym zinafanyisha mazoezi wanajeshi na polisi tu?
Eti katika mahojiano!. Mahojiano na nani mpu.mbavu kiasi hicho? Eti walikuwa wankwenda kufundisha mafunzo ya kijeshi nchi nzima!. Ninaona mwandishi wa huu upumbavu "simbakibogoyo", hata mafunzo ya kijeshi hayajui. Ni upumbavu na ujinga wa kishenzi tu unafanyika hapa.
Red Brigade wako kikatiba na si kwamba ni taasisi ngeni. Ni kikosi cha ulinzi wa chama na sijui kwa n i ni wakatazwe kufanya mazoezi. Huu si wehu wa ccm?

Tujaribu kuwa serious kidogo, manati pia ni vifaa vya kijeshi jamani??!!!