Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu
Hivyo ulivyotaja sio vifaa vya kijeshi, hizo ni silaha za kijeshi. Vifaa vya kijeshi ni hizo Helmet, Boots, combats, miwani inayotumiwa na FFU nk.