CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Skipping rope, knee pads ni vifaa vya kijeshi?!?!

Kuna watu wamekosa cha kufanya?
 
Kama kweli KISU ni siraha hatari ya kivita/jeshi, basi hii nchi haiko salama hats kidogo.Karibia asilimia 95% ya Watanzania wote wanamiliki Visu au Mapanga pia na shoka, na miongoni mwao Kuna Wana CCM, CHADEMA pamoja na vyama vingine.Ningependa polisi wa TZ waueleze umma wa Watanzania kuwa ni lini jeshi hill lilipiga marufuku matumizi/ au umiliki wa Visu hapa nchini kwetu???.
mkuu umeandika jambo zuri sana ! huyu jamaa simba kibogoyo uwezo wake ni mdogo sana , hivi ccm inategemeaje mtu dhaifu kama huyu kutengeneza propaganda ?
 
WanaJF

Tunapenda kutoa taarifa rasmi na kulaani upotoshaji mkubwa unaofanywa na CCM na mawakala wake dhidi ya CHADEMA.

Kuna mwanaJF mwenye jina SimbaKibogoyo kwa makusudi kaleta taarifa za uongo kwenye uzi huu:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/841877-chadema-kwisha-wakamatwa-na-vifaa-vya-kijeshi-ofisini-19.html#post12563465

Tunapenda kusema machache kwamba picha zilizowekwa kwenye thread hiyo ni za majambazi waliokamatwa mwaka jana na katika vitu walivyokutwa navyo ni vifaa vya CHADEMA.

Tungependa huyu mleta mada atueleze ni ofisi gani ya CHADEMA hapa nchini iliyokutwa na vifaa vya kijeshi na ni viongozi gani waliokamatwa.

Tunasikitika wakati tukilaani kupitishwa sheria ya makosa ya mitandao wapo watu wachache kwa makusudi wanasambaza uongo mkubwa na wenye madhara makubwa kwa taasisi nyingine na hawachukuliwi hatua.
 
Last edited by a moderator:
9k=

Hili jeshi la Taifa gani?
 
ni wazi Chadema sasa kufutiwa usajili baada ya kukaidi kuwa na vikosi vyenye kufanana na vile vya kijesh vya nchi. usxhahidi uliopatikana makao makuu pale ufipa unatarajiwa kupelekwa kwa jaji Mutungi kwa hatua zaidi. stay tuned for more updates
haha.....akili yenu kwenda ktk office mwenyewe hayupo kunaweza kusaidia thibitisha kwamba vitu ni vyake na si nyie ndio mmekwenda navyo.Ngoja BAK aje ba video mnavyotembea km panya ktk office za watu na docs mlizoiba
 
WanaJF

Tunapenda kutoa taarifa rasmi na kulaani upotoshaji mkubwa unaofanywa na CCM na mawakala wake dhidi ya CHADEMA.

Kuna mwanaJF mwenye jina SimbaKibogoyo kwa makusudi kaleta taarifa za uongo kwenye uzi huu:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/841877-chadema-kwisha-wakamatwa-na-vifaa-vya-kijeshi-ofisini-19.html#post12563465

Tunapenda kusema machache kwamba picha zilizowekwa kwenye thread hiyo ni za majambazi waliokamatwa mwaka jana na katika vitu walivyokutwa navyo ni vifaa vya CHADEMA.

Tungependa huyu mleta mada atueleze ni ofisi gani ya CHADEMA hapa nchini iliyokutwa na vifaa vya kijeshi na ni viongozi gani waliokamatwa.

Tunasikitika wakati tukilaani kupitishwa sheria ya makosa ya mitandao wapo watu wachache kwa makusudi wanasambaza uongo mkubwa na wenye madhara makubwa kwa taasisi nyingine na hawachukuliwi hatua.
 
Last edited by a moderator:
WanaJF

Tunapenda kutoa taarifa rasmi na kulaani upotoshaji mkubwa unaofanywa na CCM na mawakala wake dhidi ya CHADEMA.

Kuna mwanaJF mwenye jina SimbaKibogoyo kwa makusudi kaleta taarifa za uongo kwenye uzi huu:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ifaa-vya-kijeshi-ofisini-19.html#post12563465

Tunapenda kusema machache kwamba picha zilizowekwa kwenye thread hiyo ni za majambazi waliokamatwa mwaka jana na katika vitu walivyokutwa navyo ni vifaa vya CHADEMA.

Tungependa huyu mleta mada atueleze ni ofisi gani ya CHADEMA hapa nchini iliyokutwa na vifaa vya kijeshi na ni viongozi gani waliokamatwa.

Tunasikitika wakati tukilaani kupitishwa sheria ya makosa ya mitandao wapo watu wachache kwa makusudi wanasambaza uongo mkubwa na wenye madhara makubwa kwa taasisi nyingine na hawachukuliwi hatua.

Havache , Uzomeri,Wabheja, Thanks , Merci, Dank u, Ushomeri, Wakondya, Wakora, Dank je .Wanafiki utawajua they can't stand the heat , they will always create things do deceive people .Shame on him .
 
CCM haiwezi kukubali kiufa hivi hivi, lazima itapetape na hizo ndiyo dalali za kufa. Unachoweza kuwaombea ni kupumzika kwa amani huko waendeko ahera
 
Zimekamatwa lini?saa ngapi?makao makuu yapi?je ya kata au wilaya au mkoa?au taifa?Nijibiwe haya kwanza.
 
WanaJF

Tunapenda kutoa taarifa rasmi na kulaani upotoshaji mkubwa unaofanywa na CCM na mawakala wake dhidi ya CHADEMA.

Kuna mwanaJF mwenye jina SimbaKibogoyo kwa makusudi kaleta taarifa za uongo kwenye uzi huu:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/841877-chadema-kwisha-wakamatwa-na-vifaa-vya-kijeshi-ofisini-19.html#post12563465

Tunapenda kusema machache kwamba picha zilizowekwa kwenye thread hiyo ni za majambazi waliokamatwa mwaka jana na katika vitu walivyokutwa navyo ni vifaa vya CHADEMA.

Tungependa huyu mleta mada atueleze ni ofisi gani ya CHADEMA hapa nchini iliyokutwa na vifaa vya kijeshi na ni viongozi gani waliokamatwa.

Tunasikitika wakati tukilaani kupitishwa sheria ya makosa ya mitandao wapo watu wachache kwa makusudi wanasambaza uongo mkubwa na wenye madhara makubwa kwa taasisi nyingine na hawachukuliwi hatua.

Asante Molemo kwa ufafanuzi Mwl. Kaijage yupo FB kuchafua.
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha hata hao majambazi walitumwa na polisi kwa maelekezo ya CCM ili kukichafua CHAMA,yale yale ya IGP Mahita 2005 na ushenzi wake wa kontena la majambia na CUF!!!
 
Hapo heading ingekuwa,

"hakuna ofisi ya Chadema iliyokutwa na vifaa vya kuwindia"

Maana pale hakuna kifaa cha kijeshi hata kimoja.!
 
Back
Top Bottom