Hivyo visu vya kukatia mboga vipindue nchi? au ni manati za kulengea ndege mbona tumezitumia sana utotoni hatukuangusha nchi? Acheni upuuzi kutufanya tushughulishe akili kusoma upuuzi wenu andikeni vitu vyenye tija maana humu siasa za uccm na uchadema zimekuanyingi na hazina maana.
Afadhali mwizi anaekuja na manati na visu unaviona utajipanga kumkabili sio mdokozi mkomavu anaetudokolea pesa (Escrow, EPA, Rada, Tazara n.k) wakati watoto wetu wanasoma chini ya miti afu mnajiita watoto wa wakulima mkaweka jembe na nyundo kwenye bendera. Shenzi type deposit