CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Kumbe hadi manati ni kifaa cha kijeshi. Disko lishaingia mmasai mwenye sime chezeni kwa stepu usimguse...Mwaka huu kazi ipo, ccm watanzania hawadanganyiki tena kwa staili iyo. Hapa ni mwendo wa peoplessss.....
 
Naitwa Hussein Ally naishi Kongowe-Kibaha.. Ndani kwangu nina
1. Buti aina ya Ital Shoe
2. Visu viwili vya kukatia mboga
3. Manati ya kulindia Bustani
4. Helmet moja ya M4C.
5. Magwanda...

Njooni mnikamate sasa hivi. Namba yangu ni 0785460902:

Hata mimi ninamiliki kisu kama cha Rambo na sare za jeshi waje wanikamate
 
Vifaa vyenyewe vya kijeshi vilivyo kamatwa ndiyo hivi ambavyo havina hata hadhi ya kuvitumia kupigana na sisimizi au kuna vingine?.

Manati, bendera na tshirts ndio vifaa vya kijeshi kwa mujibu wa jeshi la polisi Tanzania.

Hapo ndo utajua akili ya system hii ya serikali ya ccm.

Jamani......manati unaweza kuita kifaa cha kijeshi?

WTF
 
1430034708746.jpg1430034721281.jpgnaomba kukamatwa namiliki sare ya jeshi
 
Mnatukumbusha propaganda za enzi ya IGP Mahita na visu vyake kwenye kontena
 
CHADEMA imejengwa katika misingi ya fujo na kutokuwa na mapenzi na Amani ya Nchi!

Uroho wa madaraka umewapofusha kiasi cha kusahau kuwa Nchi hii ilisifika kwa Amani na utulivu miaka yote!

Waasisi wetu waliweka misingi ya upendo, kuvumiliana na kutobaguana, lakini CHADEMA vitu hivi hawataki kuvifuata

wao ni fujo tu! Bahati nzuri watanzania wanaona sasa, kuwa CHADEMA wana nia mbaya na nchi hii!
 
Natoa rai kwa Polisi wakasachi pale makao makuu ya CHADEMA maeneo ya Tengeru, kuna Room ina vilipuzi na silaha za aina mbalimbali! CHADEMA wanataka kuleta vita nchini!
 
Acha uzezeta wewe jibu swali,visu ni silaha za kijeshi?.

Unadhani silaha za kijeshi ni mabomu ya nuclear pekee?

Ngoja nikuketee picha za S.W.A.T team na US army uone range ya vifaa vyao.
 
propaganda za CCM hizo tushazizoea wanatakaa kuwatisha wananchi

Naamini usingekuwa na comment ya aina hii kama tukio kama hili lingewahusu akina Ali na Abdallah. Nyote bila uchunguzi wowote na bila hata ya chembe ya shaka juu ya polisi mngeungana na kuwalaani, na kulisistiza jeshi la polisi kuchukua hatua kali. Lakini kwa kuwa ni wenzetu akina Swai na Mushi tunasema ni tukio la kupanga, na kwamba mtu visu na manati sio silaha zinazodhuru.Tunashindwa hata kujiuliza visu na manati kwenye siasa wapi na wapi?????, anyway hapo ndipo siasa zilipotufikisha watanzania
 
Ingekuwa nchi nyingine hata jirani tu hiki chama kingefutwa hakifai ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
Ingawa hivyo VIFAA VYA KIJESHI vinavyodaiwa na Polisi ni UJINGA na UPUMBAVU Lakini ni Ujinga na upumbavu MKUBWA zaidi CDM to play in CCM/POLICE's hand (i.e kuweka visu na manati katika ofisi za chama)
 
uongo mwingine bhana sasa manati wanaenda kuwindia ndege vip kisu wanaenda machinjoni ndio yaleyale ya Kwamba za kuambiwa changanya na za kwako
 
Kumbe hadi manati ni kifaa cha kijeshi. Disko lishaingia mmasai mwenye sime chezeni kwa stepu usimguse...Mwaka huu kazi ipo, ccm watanzania hawadanganyiki tena kwa staili iyo. Hapa ni mwendo wa peoplessss.....
Mkuu manati ni silaha mbaya sana! Sema hujui tu!

Ukipigwa na jiwe lililotoka kwenye manati lazima ukae!

Wahalifu wa CHADEMA hawachagui silaha!
 
Natoa rai kwa Polisi wakasachi pale makao makuu ya CHADEMA maeneo ya Tengeru, kuna Room ina vilipuzi na silaha za aina mbalimbali! CHADEMA wanataka kuleta vita nchini!

Msako mkali unaendelea ili kugundua maeneo mengine ambayo CHADEMA wameficha vifaa vyao hivyo kwa lengo la kutuharibia amani yetu.

Uroho wao wa madaraka utaliingiza taifa katika machafuko na kamwe jeshi la polisi haliwezi kuacha upuuzi wa aina hiyo kutokea Tanzania.
 
CHADEMA imejengwa katika misingi ya fujo na kutokuwa na mapenzi na Amani ya Nchi!

Uroho wa madaraka umewapofusha kiasi cha kusahau kuwa Nchi hii ilisifika kwa Amani na utulivu miaka yote!

Waasisi wetu waliweka misingi ya upendo, kuvumiliana na kutobaguana, lakini CHADEMA vitu hivi hawataki kuvifuata

wao ni fujo tu! Bahati nzuri watanzania wanaona sasa, kuwa CHADEMA wana nia mbaya na nchi hii!

Hahahaaaaa mbona kazi unayoooo
CDM inasonga mbele mwanzo mwisho CCM kila mkitunga movie mpya inabuma
 
Ingekuwa nchi nyingine hata jirani tu hiki chama kingefutwa hakifai ni hatari kwa usalama wa nchi.
Sawa sawa Mkuu!

Hizi ***** ***** za CHADEMA zikiachwa zitatuvurugia Amani yetu, Kichama kama hiki bora kifutwe tu!

Hawawazi kingine zaidi ya kuleta machafuko na mauaji ya halaiki hapa Tanzania!
 
attachment.php


Silaha hatari za Jeshi la Wananchi wa Tanzania zilizonunuliwa kwa gharama kubwa nchini Ujerumani zimekutwa katika ofisi za chama cha CHADEMA, wakati jeshi la polisi wakiendelea na uchunguzi, wananchi wametakiwa kuwa watulivu, taarifa kamili za uchunguzi zitatolewa na makao makuu ya polisi.
 
Back
Top Bottom