Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Ni kweli mkuu. Maana jinsi Mbowe alivyoitoa ile kauli niliwaza anajiamini nini? Kumbe ameandaa jeshi lake la waasi!
Hakika kamanda aliyepeleka taarifa hiyo ya kiintelijensia polisi ameokoa maisha ya Watanzania wengi.
Kwakweli hata mimi nilishangaa mtu kutoa kauli hile bila kujiandaa na tukumbuke pale ufipa kuna chumba maalum cha matesi....Chadema hakina tofauti na kikundi cha waasi...!
Hakika Kamanda ni mzalendo kwa nchi yake kuwajuza jeshi la polisi kuhusu vitendo vya kigaidi ndani ya ofisi za Chadema!