DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Propaganda as usual
Natoa rai kwa Polisi wakasachi pale makao makuu ya CHADEMA maeneo ya Tengeru, kuna Room ina vilipuzi na silaha za aina mbalimbali! CHADEMA wanataka kuleta vita nchini!
Sawa sawa Mkuu, sasa naanza kupata picha kwanini wananchi walio wengi walikataa kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, kumbe kuna vyama ambavyo vinatumiwa na wasioitakia mema nchi yetu ili kuvuruga umoja na mshikamano wetu!Msako mkali unaendelea ili kugundua maeneo mengine ambayo CHADEMA wameficha vifaa vyao hivyo kwa lengo la kutuharibia amani yetu.
Uroho wao wa madaraka utaliingiza taifa katika machafuko na kamwe jeshi la polisi haliwezi kuacha upuuzi wa aina hiyo kutokea Tanzania.
Sawa sawa Mkuu!
Hizi ***** ***** za CHADEMA zikiachwa zitatuvurugia Amani yetu, Kichama kama hiki bora kifutwe tu!
Hawawazi kingine zaidi ya kuleta machafuko na mauaji ya halaiki hapa Tanzania!
uongo mwingine bhana sasa manati wanaenda kuwindia ndege vip kisu wanaenda machinjoni ndio yaleyale ya Kwamba za kuambiwa changanya na za kwako
![]()
Silaha hatari za Jeshi la Wananchi wa Tanzania zilizonunuliwa kwa gharama kubwa nchini Ujerumani zimekutwa katika ofisi za chama cha CHADEMA, wakati jeshi la polisi wakiendelea na uchunguzi, wananchi wametakiwa kuwa watulivu, taarifa kamili za uchunguzi zitatolewa na makao makuu ya polisi.
Mkuu umenena vyema, CHADEMA wamekuwa vinara wakupinga maendeleo, unakumbuka yule mwanasheria feki TUNDU LISSU aliwakataza wananchi wa jimbo lake linaloongoza kwa umaskini Tanzania wasishiriki kwenye shughuli za maendeleo?Chama cha vurugu tupu kipinga maendeleo chama cha maandamano hata ukiangalia majimbo yaliyo chini ya chadema yamerudi nyuma ki maendeleo yaani hiki chama hakifai kabisa.
Manati! Kisu cha nyanya! But I! Zana kijeshi, hata havipo katika listWana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
Mkuu hicho Kisu ni cha kivita kabisa, hujawahi hata kwenda mafunzo ya mgambo wewe?😀😀😀😀😀😀😀 vifaa vya kivita ndo hivi kwel???
Kweli wewe ni SimbaAsiyeNaMeno Manati, visu vya wamachinga, Boot za mitumba na T-shirt ndiyo silaha? Je wangekuwa na Upinde na Mikuki ingekuwaje? Aliyekamata ni mgambo au Polisi? kama ni Polisi afukuzwe kazi mara moja.Wana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
Mkuu umenena vyema, CHADEMA wamekuwa vinara wakupinga maendeleo, unakumbuka yule mwanasheria feki TUNDU LISSU aliwakataza wananchi wa jimbo lake linaloongoza kwa umaskini Tanzania wasishiriki kwenye shughuli za maendeleo?
Ufahamu wako umemezwa na ushabiki wa vyama.Hv ww mtoa post ni kichaaa eti hv vifaa ww huna nyumbani kwako kisu ,hicho kidude cha kupigia push up pooopoooo
Sawa sawa Mkuu!Mkuu kujipendekeza kwa na Kagame usikute wanaomba kununua silaha kutoka Rwanda na uniform ilimradi wachafue amani ya nchi