Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 350
Manati, bendera, visu vya Mahita ni kifaa cha kijeshi? Pathetic.
Mbona polisi wamekosea walitakiwa waweke na rangi ya chadema kwenye visu kama kipindi kile cuf ,washakosea tena halafu wameweka visu vidogo bora wangeweka vikubwa.
Visu, mabomu,sare za jeshi, bunduki, ugaidi wa kutisha, Chadema janga la Taifa[/QUOTE
Mbn me cjaona hvo...au nnamakengeza
Mkuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!, kati ya vifaa vyote hivyo ulivyoonyesha, kuna kitu gani hapo cha kijeshi?!. Kama ni hivyo, mbona hata mimi hivyo vyote ninavyo na zaidi ya hivyo?!.
Mimi nilidhani wamekutwa na AK 47, Machine guns, hand grenades, night vision binoculars, cynide capsules, masanduku ya TNT etc, lakini wamekutwa na hizo botts na shield za waendesha boda boda ndio vifaa vya kijeshi?!.
Hili jeshi letu la polisi sasa linakuwa too sensational!.
Na kama kuna kitu kitamkosesha Kova u IGP ni sensationalism!.
Pasco
BAVICHA mna tatizo la kuchukulia mambo diplomatically hapa tupo kwenye uhuru wa habari ambapo kila mmoja ana right ya free of expression ila kwa Kuwa BAVICHA Hamko kidiplomacia ndo kitu kidogo kama hivi unajaza povu jukwaa zima badara Ya kutoa hoja yenye ustaarabu vivyo hivyo unavyokosa uvumilivu humu kwenye media ndo utakavyo act pindi utakapoachwa na vifaa vya kijeshi kwa sababu unakosa ile political tolerance na huu ni utamaduni wenu kuanzia juu mmejaa hasira kwa kila kitu.mitusi ndo kabisa nyumbani kwenu
Yaani mkuu ni jambo la aibu sana kwa kweli,eti visu vya kumenyea machungwa na hizo but ni silaha za kivita,hapo hata kama unatafuta sifa kwa mkuu wako lazima nae akushangae kwa kwakweli
Manati nayo silaha ya kivita???
Visu vya kukatia mboga!!!!
Buti za kuvalia kikamanda.... Hata kariakoo zinapatikana.
Propaganda hizo ni noma....
Hivi kwa nini Chadema wanarushiwa mawe kila siku....
Nimegundua Chadema ndio Wapinzani Halisi......
Mbinu za serikali ya CCM zimepitwa na wakati.
Huwa kila siku nasema Chadema hawaitakii mema nchi hii!Sasa nimeelewa kwa nini Mbowe alisema nchi itawaka moto ...kumbe wamejiandaa kuiwasha moto duuu!
Hakika Kamanda aliye toa taarifa ni mzalendo kwa nchi yake...!