King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Kwani mama makinda hajui chingereza ama shida ni nini hapo? Mbona iko straight? Uongozi wa kupewa mgumu kuliko kuwa nyumba ndogo!
Jamani hebu tuache ushabiki twendeni kwenye fact kama fuatavyo;
Kwa mujibu wa web ya Bunge jumla ya wabunge ni 357. Kwa kuwa sina uhakika na idadi ya wale wanunge 10 wanaoteuliwa na raisi (utaratibu huu usiwepo ktk katiba mpya) tuseme tuna wabunge 350. Kule EAC wanatakiwa wabunge 9 tu kutoka nchi wanachama. Mkataba wa EAC unasema;
ARTICLE 50
Election of Members of the Assembly
1. The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine members of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in accordance with such procedure as the National Assembly of each Partner State may determine.
Kama mkataba unavyojieleza, utaratibu ni kwa mujibu mwa taratibu zitakazowekwa na Bunge la nchi husika na Tanzania imeweka utaratibu wa 'ratio' au percentage kutokana na idadi ya wabunge wa kila chama waliopo Bungeni. Hivyo chukua idadi ya wabunge 9 gawa kwa percentage ya wabunge wote wa upinzani jibu halizidi 10% kwani idadi ya wabunge wote wa upinzani hawafiki 70 ili kuwawezesha kupata 20% ili wapate wabunge 2. CDM kuokana na ubinafsi wao (kama walivyounda kambi ya upinzani kivyao) wangependa wapate freepass ya mgombea wao kupita kiulaini. Kwa mujibu wa EAC Treaty, Tanzania haijakosea chochote na hata CDM wakishtaki EA Court of Justice wataangukia pua kama Mtikila alivyoanguka katika kesi kama hiyo miaka mitano iliyopita kwani ibara ya 52 iliyommaliza inasema;
ARTICLE 52
Questions as to Membership of the Assembly
1. Any question that may arise whether any person is an elected member of the Assembly or whether any seat on the Assembly is vacant shall be determined by the institution of the Partner State that determines questions of the election of members of the National Assembly responsible for the election in question
Kwenye undeline hiyo institution ni High Court of Tanzania
Nawasilisha.