CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

Status
Not open for further replies.
Nini? Magamba watuhamilie?

No no no!

Wajitambue kama wauza nchi. Hapana kweli hapana!!! Kama jimboni kwetu tunamtambua makamba kama mbunge! Yeyote awaye tutamtambua Kama mwakilishi kutoka box la kura na si vinginevyo, tafadhali CDM piganieni Hilo.
 
Amy tume ya katiba mambo ya machogo nyie yanawahusu nini?mbona katiba ya kwenu hamkutushirikisha ama mnaleta ya nyani? haoni ********* le
 
Kuna thread ya Tuntemeke na habar zake za ukanda na mikakat ya Mbowe na wabunge wa CCM kuungana..pamoja na ugeni wangu humu lakin wanafiki sura zao naanza kuziona. Safi sana CDM..MCC walijiandaa na mbinu zao za kizamaniii;wanaoafiki waseme ndio...(Jitu linakurupuka usingizin)ndiooo,wasioafiki waseme sio...sioo; nadhan wanaoafiki wameshinda; pumbaaaf. Sa hivi hatuwap nafas ya kufika huko.
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
Makinda is a tragic to Tanzania, since she become a speaker of our national assembly she refuse to accept anysound proposal , this women is so thick shecan’t differentiate party political and national interest. Tanzanianeed people in EAL to speak for us all not for Fisadis. She treat MPs as ifthey ****** I wonder how they put up with her stupidity and patronising keep fighting peoples voice is voice of GOD
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki

Ni uamuzi mzuri sana huu. Ni muhimu pia wakati rufaa kama walivyokusudia. Safi sana CDM
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki

Hivi refa(spika wa bunge) akiwa ni mchezaji wa Yanga(ccm) ataacha kuyafanyia kazi maelekezo ya timu yake ya Yanga(ccm)juu ya mechi(EAC uchaguzi)itakayocheza?Sasa hapa balance ipo wapi!?Katiba mpya:Spika wa Bunge asitokane ktk chama chochote kitakachopata ridhaa ya kuwaongoza wananchi.
 
CCM: (260/347) X 9 = 6.74 (APPRO. WABUNGE 7)

UPINZANI (86/347) X 9 = 2.23 (APPRO. WABUNGE 2)[/FONT][/SIZE]

Hiyo ni hatua ya kwanza yaani kujua uwiano wa wabunge kati ya wapinzani na chama " twawala". Hatua ya pili ni wabunge wa EALA wachaguliwe kutokana na uwakilishi wa vyama vilivyomo bungeni. Kwa mantiki hiyo ukarikenye wa CCM kuingilia au kutaka kuingilia uchaguzi wa kambi nyingine ni kuvunja treaty ya EAC.

Kiutaratibu kambi ya CCM ichague wabunge wake na upinzani wachague wabunge wao.
 
The whole process is flawed, it does not make sense for ccm members of parlaiment to choose for the opposistion their representative in the E.A. parliament!!Let ccm members of parliament choose their own representatives and let the oppsition also choose theirs according to legally agreed proportions. Kama ccm wamegawiwa viti 7 wabunge wao wawachague kufuatana na taratibu za uwiano uliowekwa na hivyo hivyo kwa vyama vya upinzani navyo vichague wawakilishi wao sio ccm kuwachagulia wapinzani wawakilishi.!!
 
Chadema wamechungulia wameona watashindwa vibaya wanakuja na janja ya nyani sababu kuu wamechagua mtu asie na mvuto ndio maana wanahaha sasa
 
Chadema wamechungulia wameona watashindwa vibaya wanakuja na janja ya nyani sababu kuu wamechagua mtu asie na mvuto ndio maana wanahaha sasa

Hakuna janja ya nyani hapa Chadema ni kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima iwakilishwe kwenye bunge la Afrika Mashariki kufuatana na charter; na ccm haiwezi kuwachagulia wapinzani mtu wa kuwawakilisha huko wao wenyewe ndio watakaomchagua!! CCM wawachague wawkilishi wao wanaowapenda kufuatana na mizengwe na ufisadi wao.
 
Tunazungumzia wabunge wa Chadema. Je, Zanzibar itawakilishwa na wabunge wangapi EALA. Walinganishwe na idadi ya wapiga kura kutoka Bara. Kama ni hivyo, bado tunazungumzia dhana ya ratio? Bila shaka kuna mushkeli mahali fulani katika msingi na mfumo mzima wa demokrasia ya uwakilishi. Hili ndilo tatizo la msingi. Tusimbebeshe lawama Spika wa watu, huko ni kumwonea mama yetu.
 
Jamani hebu tuache ushabiki twendeni kwenye fact kama fuatavyo;

Kwa mujibu wa web ya Bunge jumla ya wabunge ni 357. Kwa kuwa sina uhakika na idadi ya wale wanunge 10 wanaoteuliwa na raisi (utaratibu huu usiwepo ktk katiba mpya) tuseme tuna wabunge 350. Kule EAC wanatakiwa wabunge 9 tu kutoka nchi wanachama. Mkataba wa EAC unasema;

ARTICLE 50
Election of Members of the Assembly
1. The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine members of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in accordance with such procedure as the National Assembly of each Partner State may determine
.

Kama mkataba unavyojieleza, utaratibu ni kwa mujibu mwa taratibu zitakazowekwa na Bunge la nchi husika na Tanzania imeweka utaratibu wa 'ratio' au percentage kutokana na idadi ya wabunge wa kila chama waliopo Bungeni. Hivyo chukua idadi ya wabunge 9 gawa kwa percentage ya wabunge wote wa upinzani jibu halizidi 10% kwani idadi ya wabunge wote wa upinzani hawafiki 70 ili kuwawezesha kupata 20% ili wapate wabunge 2. CDM kuokana na ubinafsi wao (kama walivyounda kambi ya upinzani kivyao) wangependa wapate freepass ya mgombea wao kupita kiulaini. Kwa mujibu wa EAC Treaty, Tanzania haijakosea chochote na hata CDM wakishtaki EA Court of Justice wataangukia pua kama Mtikila alivyoanguka katika kesi kama hiyo miaka mitano iliyopita kwani ibara ya 52 iliyommaliza inasema;

ARTICLE 52
Questions as to Membership of the Assembly
1. Any question that may arise whether any person is an elected member of the Assembly or whether any seat on the Assembly is vacant shall be determined by the institution of the Partner State that determines questions of the election of members of the National Assembly responsible for the election in question

Kwenye undeline hiyo institution ni High Court of Tanzania

Nawasilisha.
 
kWANI UWIANO WA WABUNGE SASA HIVI UKOJE? Na kama watafuata uwiano huo, je CCM itapata wabunge wangapi na Upinzania watakapata wabunge wangapi. Na hao wabunge wa Upinzani je ni lazima watoke CDM au watatoka upinzani wowote kama ambavyo Bunge lilivyowahi kugeuza utaratibu wa kuwachagua wajumbe wa upinzani kwenye kamati zake ili kufurahisha chama tawala.
 
Wakati mwingine wangempitisha tu mtu wao hafu rufaa baadae. Itakuwa too late to catch the moving train. Walimkataa JK, Leo wamemkubali. Waligomea Mchakato wa Katiba Leo wamempeleka Baregu. Sometimes they o not think deep. Wanasusa wenzao wanakula.

OYAAAAA!!! Mbona unakula godoro? amka sasa, hata hivyo kumekucha, Vipi? tueleze uliota unakula mkate!!!
. . . . . . . . . . . duh! nani alikupakia hiyo siagi ya m.avi. kwii kwiii kwi kwiii
 
siku ikifika sijui huyu bibi makinda atakimbilia wapi!!???


kwa haya wanayoyafanya wallah atajuta kuzaliwa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom