Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Mnyoosho unaendelea, ukitoa Dar, Mbeya, arusha, moshi, manyara, kwingine kote ukawa wamepigwa vibaya mno
Yaani mechi ya upande mmoja haina raha kabisa. UKAWA wamekimbia mitandao ya kijamii. Kwa sasa wanachungulia kwa kijicho
Wenje kaliwaaaaaaaaaaa , Nyamagana, ilemela wameliwa Dr wasameheeeeeeeYule dogo wa Bavicha naye eti alikuwa anamshambulia Dr.Slaa kapigwa chini vibaya huko Shinyanga.
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
akumbukwe kwa lipi wakati kipigo kiko pale pale ...majimbo ya chadema mwaka huu ni mengi mnoo
Yaani mechi ya upande mmoja haina raha kabisa. UKAWA wamekimbia mitandao ya kijamii. Kwa sasa wanachungulia kwa kijicho
Mwanza, shinyanga na tabora kura ni za kikabila na hilo lilitarajiwa
Kweli nimeamini UMASIKINI wa WATANZANIA ni wa kujitakia....yaani kabisa mtu na akili zako timamu unaichagua CCM....??
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo
We have already done with him! Yes he did a great job but for now let him rest in harmony. We have opened another chapter & era. He is history now!
Masikini ni wewe kwa uvivu wako tu wachapa kazi wanakula bata tu mzee inuka chapa kazi fursa ziko nyingi kulialia