Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Huu umoja wa UKAWA,Chadema wamewauza wenzao wa NCCR na CUF
Maana taabani,pigwa vibaya.
Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo
Nipe kwanza habari za bunda na ndanda
Nilidhani wewe ndio ungekuwa wa kwanza kumuomba msamaha kwa matusi uliyomtukana!
Ushauri mwingine bwana....
Hebu tuache unfounded feelings
Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done
Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
Naongezea same mashariki na moshi vijijiniTunaomba Matokeo ambayo CHADEMA na CCM waliyopoteza.
Ili twende sawa.
Mimi naanza n Bunda,Siha,Tandahimba,
Yuko zake Dubai anahesabu mabilioni yake ana shida gani? Naona katelekeza nyumbu na malofa wake at a very critical time. Hovyo kabisa!Mbowe ni mpuuzi sana, eti "tulifanyiwa utafiti na mashirika ya nje na yote yakatuthibitishia kuwa Dr. Slaa hawezi kushinda uchaguzi huu wa mwaka 2015". Mpuuzi huyu, ni lazima ang'olewe kwenye uenyekiti wa chama, na manyumbu wote wazee wa kujipendekeza hao bila hata kufikiria wakaunga mkono.
Jamani wahurumie chadema yaani huku mtaani wamenywea mpaka wanatuia huruma, sijui hali ya musa allan ikoje na ocampo four
Hujasikia news? Ocampo four kalikoroga yuko huko aliko